Msaada: Chuo Kizuri cha Ufundi Cherehani

kiparah

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,173
114
Heshima mbele kwenu wanaJF. Poleni na majukumu. Tafadhalini kwa mwanaJF yeyote anaejua chuo kizuri kinachotoa mafundi cherehani wazuri anijuze

Ninapenda sana hii kazi na designing ila nimetafuta kwa muda mrefu wapi pa kufifunza nimekosa, kila nilipoenda kwa mafundi naishia kupoteza muda na pesa kwani mwisho huishia kurepea nguo za wateja na sio kufundishwa

Naomba msaada kwa anaejua hili hata kama ni nje ya nchi ila iwe ndani ya East Africa

Asanteni
Chrissa
 
Nenda peramiho training school songea ndo suluhisho,,,, unakula coz ya miaka m4 hafu unakuwa umeiva kinoma...brother angu kasoma hapo saiz ni moto wa kuotea mbal pia anakiwanda chake,,.
 
Back
Top Bottom