Msaada chuo cha sheria ngazi ya cheti

Msaada chuo cha sheria ngazi ya cheti

HardMartin

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
308
Reaction score
113
ndugu wanajamvi kama kichwa habar knavyojieleza, naomba msaada wenu wa kuvijua vyuo vya sheria kwa ngaz ya cheto coz kunamdogoangu almalza kdato cha nne mwaka 2012 xo anataka akajiunge mwaka huu na pia ntashukuru kama ntapata na contact za vyuo hucka au njia nyingne yeyote ya kuweza kupata fomu na utaratibu wa vyuo husika, natangulza Shukran Kwa Wote Watakaonisaidia+mchana Mwema Kwa Wote.
 
vyuo vya sheria ngazi ya cheti vipo vingi sana
1. IJA lushoto
2. Mzumbe(moro na mbeya)
3. Azania College(DSM)
4. Rucco (Iringa)
5. Tumaini
6. Bagamoyo University
7. UDSM

kwa ujumla vyuo vyingi vinavyotoa elimu ya juu kwa kozi ya sheria basi kuna ngazi ya certificate pia
 
vyuo vya sheria ngazi ya cheti vipo vingi sana
1. IJA lushoto
2. Mzumbe(moro na mbeya)
3. Azania College(DSM)
4. Rucco (Iringa)
5. Tumaini
6. Bagamoyo University
7. UDSM

kwa ujumla vyuo vyingi vinavyotoa elimu ya juu kwa kozi ya sheria basi kuna ngazi ya certificate pia

vpi kuhusu ajira kwa ngaz hyo ya chet kwa vyuo hvyo vyote.
 
Ntashukuru Kwa Msaada Wako Ndugu Xo Ntakutegemea Zaid Kwa Hlo
minimum requirement ya kusoma kozi yoyote ngazi ya certificate ni pass 4 kwa maana inabidi uwe na D au kuendelea

Kwa sheria english ni lazima iwepo kwenye hizo D 4 ila kwa chuo kama IJA ili uwe kwenye nafasi nzuri kupata basi inabidi na vigezo juu ya hapo
 
Back
Top Bottom