Msaada: Chuma kimekatikia kwenye TV

Msaada: Chuma kimekatikia kwenye TV

Ungeweza kufungua huo upande kiliokatikia ugeuze kwa ndani utrace hilo tundu then tumia msumari mwembamba kukisukuma tokea upande wa ndan kuja nje,hizo ndo kazi za baba mwenye nyumba
 
Kile kichuma sio plastic lina vitu kama udongo (ceramic) umekuwa coated na conductor kwa nje ukitumia pini utakisukumia ndani,funguacusukume tokea ndani
 
Ungeweza kufungua huo upande kiliokatikia ugeuze kwa ndani utrace hilo tundu then tumia msumari mwembamba kukisukuma tokea upande wa ndan kuja nje,hizo ndo kazi za baba mwenye nyumba
Baba mwenye nyumba hayupo
 
Back
Top Bottom