Msaada: Chuma kimekatikia kwenye TV

Msaada: Chuma kimekatikia kwenye TV

Habari naombeni msaada .ni hivi kuna zile nyaya za kuunga Nisha TV na deki.sasa kuna vile viwaya (kichwa) vinavyochomekwa vinavyoingia kwenye TV kimekatikia ndani ya TV na ni baada ya zile waya kuwekwa vibaya. kinaweza kutolewa kweli? Au ndo siangalii CD videos.
Mkuu tafuta ile sindano ya super glue kichome kwa nguvu kama unakisukumia huko (kitazama ndani kabisa)wee sukuma kwa nguvu kama unakisukumia huko hiyo sindano itazama kikishafika mwisho ndani yana alfu hiyo sindano vuta kwa nguvu inakitoa au chukua super glue paka hapo kwa ndani kwenye hiyo pin ilukatika weka kama unachomeka pale ilipokuwa kwenye hiyo ilokatika subiri dakika chache inase ukichomoa hiyo pin inakitoa!!ukiweza lete mrejesho!![emoji86] [emoji86]
 
Ngoja nifanye hivyo ntaleta mrejesho .asante we[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Uko wapi nije kukutolea utanilipia mafuta ya gari..!
Mafuta ya gari elfu 20.si Bora hata ungesema daladala..[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Usipereke kwa fundi nunuwa sindano nuniwa mshumqa uchemshe iyo sindano paka iwe ya moto kisha choma kweicho kidude kwandani huwa kuna prastiki choma sindano kweiyo prastiki acha kama dakika moja vuta kinatoka
 
Usiwe mvivu wa kufikiri jambo na kufanya maamuzi kama mwanaumw rijali,
Sio kila matatizo unaanika mtandaoni kuomba ushauri,
Vingine unafanya mwenyewe kimya kimya sio kila ajue mambo yako binafsi.

Umeshindwa kitu mtafute mtaalamu akusaidie na maisha yanaenda.
 
Mafuta ya gari elfu 20.si Bora hata ungesema daladala..[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Yaani nipande daladala kisa utanilipia nauli[emoji41] [emoji41] labda km utanipa na nanilii...(mtaro/mpasuko kwenye adazi) hapo sawa.
 
Usiwe mvivu wa kufikiri jambo na kufanya maamuzi kama mwanaumw rijali,
Sio kila matatizo unaanika mtandaoni kuomba ushauri,
Vingine unafanya mwenyewe kimya kimya sio kila ajue mambo yako binafsi.

Umeshindwa kitu mtafute mtaalamu akusaidie na maisha yanaenda.
Wewe ndo mvivu
 
Wacha uoga,FUNDI atakulia hela tu kwa kazi ndogo, chukua sindano ndogo iweke Moroni upate moto then ingiza hapo ilipokatikia(coz kile kichuma kati kina plastic) then vuta kinatoka,kazi ya dk 1 tu
Kazi ndogo sana hii na usikute movie anayotaka kuangalia ni the walking dead aaaya type mlejesho
 
Habari naombeni msaada .ni hivi kuna zile nyaya za kuunga Nisha TV na deki.sasa kuna vile viwaya (kichwa) vinavyochomekwa vinavyoingia kwenye TV kimekatikia ndani ya TV na ni baada ya zile waya kuwekwa vibaya. kinaweza kutolewa kweli? Au ndo siangalii CD videos.
Upo wapi? Ni-pm nikusaidie, mafundi uchwara watakuharibia tv yako.
 
Back
Top Bottom