JOH CARLOS
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 583
- 272
kuna barabara moja inatengenezwa runzewe pale ya lami toka may nadhan itakua imekarubia kukamilika inaenda tokea katoro kama sijakosea kwa io gar za kahma to runazi mpaka biharamulo zitakuepo na za kahama lusahunga mpaka biharamulo zitakuepo piaNaona mnatofautiana wadau. Hebu wekeni sawa... KAHAMA - B'MLO, je bus linapitia Runazi/Kabindi?
I appreciate wakuu wangu. Barikiwa sana.