Msaada: Bus route from Moshi to Runazi/Kabindi/B'mlo.

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,421
Reaction score
1,297
Amani kwenu wanajukwaa wote.

Naombeni kuuliza. Kwa mtu aliyepo Moshi, anataka kwenda Runazi/Kabindi then to Biharamulo:

1. By Bus, ni route ya moja kwa moja? au ni lazima kuunga mabus? kama ni lazima kuunga, apite njia/route gani the best?

2. By Bus, ni possible kufika siku hiyo hiyo? ama ni lazima kulala njiani?

3. Apande Bus gani? Bus zuri angalau semi-luxury.

Nawasilisha wakuu. Thanks in advance.
 
Panda Mtei Express MOSHI-KAHAMA (masaa 11 hadi 12), halafu kesho yake unganisha na KAHAMA-BIHARAMLO na ILYANA BUS, TRINITY BUS au PRICE MURO (masaa 6 hadi 8)
Hii ndo route rahisi na fupi kama unaenda Biharamulo, Muleba au Katerero na MTO Ngono (Bukoba) tokea Moshi
 
Panda Mtei Express MOSHI-KAHAMA (masaa 11 hadi 12), tkesho yake unganisha na KAHAMA-BIHARAMLO na ILYANA BUS, TRINITY BUS au PRICE MURO (masaa 6 hadi 8)
sasa io ya kahama biharamulo si inaenda kupitia lusahunga then biharamulo hatoweza fika runazi...

nenda mpaka mwanza na isamilo kesho yake panda ya bk inapita buselesele mpaka runazi...fika rinazi iatapata za biharamulo
 
Hiyo route ulivyoiweka haiwezekani upande basi moja. Ila kama lengo ni kufika Biharamulo panda bus la Moshi - Bukoba (sasa hivi sijui bus gani linapita hiyo route).

Ila kama nyumbani ni Kabindi lazima ushuke Biharamulo halafu upande hiace.
 
mosh- bk haipo kuna arusha -bk mohamed classic na arusha one.....
 
Hiyo route ulivyoiweka haiwezekani upande basi moja. Ila kama lengo ni kufika Biharamulo panda bus la Moshi - Bukoba (sasa hivi sijui bus gani linapita hiyo route).

Ila kama nyumbani ni Kabindi lazima ushuke Biharamulo halafu upande hiace.
Moshi-Bukoba route ya moja kwa moja sidhani kama kuna bas la moja kwa moja
 
Moshi-Kahama(Mtei) magari ya Biharamulo Mengi tu Kahama
 
kahama-bmulo hakuna gari la moja kwa moja, ataunga unga mpaka atafika, labda abahatishe tu yanayokwenda bk.

ila hiyo route alivyoiweka itamgharimu ...
 
Panda moshi to Mwanza
Then kesho yake panda nyehunge au zube Mwanza to ngara inakuacha kabindi mapema tu.
 
sasa io ya kahama biharamulo si inaenda kupitia lusahunga then biharamulo hatoweza fika runazi...

nenda mpaka mwanza na isamilo kesho yake panda ya bk inapita buselesele mpaka runazi...fika rinazi iatapata za biharamulo

Panda moshi to Mwanza
Then kesho yake panda nyehunge au zube Mwanza to ngara inakuacha kabindi mapema tu.

Shukrani wakuu. Naona mawazo yenu yamefanana, kuwa nipitie Mwanza, kisha nitapanda Mwanza to Runazi/Kabindi then to B'mlo.

So kwa MOSHI to MWANZA, ni Bus gani zuri (semi-luxury au luxury) ?
 
isamilo ya 33 utaenjoy sana
 
Amani kwenu wanajukwaa wote.

Naombeni kuuliza. Kwa mtu aliyepo Moshi, anataka kwenda Runazi/Kabindi then to Biharamulo:

1. By Bus, ni route ya moja kwa moja? au ni lazima kuunga mabus? kama ni lazima kuunga, apite njia/route gani the best?

2. By Bus, ni possible kufika siku hiyo hiyo? ama ni lazima kulala njiani?

3. Apande Bus gani? Bus zuri angalau semi-luxury.

Nawasilisha wakuu. Thanks in advance.
Kuna arusha express,ya arusha tu bukoba. Na kimotco ya arusha tu bukoba bora uende arusha ndo kuna mabasi ya kagera sio hayo tu
 
Panda Mtei Express MOSHI-KAHAMA (masaa 11 hadi 12), halafu kesho yake unganisha na KAHAMA-BIHARAMLO na ILYANA BUS, TRINITY BUS au PRICE MURO (masaa 6 hadi 8)
Hii ndo route rahisi na fupi kama unaenda Biharamulo, Muleba au Katerero na MTO Ngono (Bukoba) tokea Moshi

Shukrani mkuu MWANDENDEULE . Hiyo route ya KAHAMA - B'MLO... bus linapitia Runazi/Kabindi? maana inahitajika kwanza Runazi/Kabindi, kisha Bimlo.
 
Back
Top Bottom