Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

hata unapo badili imei kwa box lazma linakupa warning kuwa changing imei iz not legal
Hayo maelekezo nikwamba wewe ukibainika unabadili uchukuliwe hatua siyo wawo hiyo option ni kwaajili ya repair tu hata kubadili inawza lakini nikosa
 
Kwema wakuu, mkuu kcamp na wengineo msaada hapa nina ka tecno L5 kangu kananizingua kweli kana hard brick kila nikijaribu ku kaflash kwenye sp flash kananizingua aiseh kanaleta hii error "BROM ERROR:S_STORAGE_NOT_MATCH(3183) ebu nipeni msaada nyie mlio kwenye hii game muda mrefu.
 
hii dawa yake ni kutafuta rom nyingine kama rom kibao zmegoma bas ujue hyo inaweza kuwa haifanani nA zingine... ndo maana unashauriwa ku backup bin au scater kabla hujaflash
 
kweli kabisa mkuu
 
Mkuu yenyewe inataka sim network unlock pin utanisaidiaje?
yap lakini huwa tuna unlock kwa box.. na ni rahisi tuu...sina uhakika na hyo crack yamiracle box... maana nmewah tumiaikawa inafanya kazi zote isipokuwa unloacking... so jaribu kama itakubali... ikishindwa nenda kwa fundi aliye karibu nawe
 
yap lakini huwa tuna unlock kwa box.. na ni rahisi tuu...sina uhakika na hyo crack yamiracle box... maana nmewah tumiaikawa inafanya kazi zote isipokuwa unloacking... so jaribu kama itakubali... ikishindwa nenda kwa fundi aliye karibu nawe
Kwahiyo hiyo link ulonipa ndo ni download hiyo program?
 
Nimejifunza kitu kikubwa... hua nadowload software moja moja kila napotaka kuUpgrade simu to new version or downgrade kumbe kuna kitu kinaitwa box kina contain softwares zote..
Nilkua nawazaga sana hivi wale jamaa wa kkoo ni kuwa wanashusha OS zote za simu maana huwa hawakosi software yoyote ya simu kumbe wanakua na box.
 
kosa kwa sheria ipi?
"Soma kwenye Legal notices ya kila simu hawaruhusu kufungua wala kuflash mpaka uwe authorizes personel" sasa huyu jamaa ni authorized personel wa kampuni gani? kuhusu box FURIOUS BOX (1-12 ACTIVATED) napita tu
 

Box ni USB interface tu,unaweza tumia usb na cracked soft nyingi tu ni inbox kama unazihitaji
 
Dahh ushauri mzuri sana na unaonekana uko poa kwenye haya maswala big up
Ila na swali software ipi ni nzuri kwa kuwa unlock simu
 
Anaeweza ni-unlockia modem yangu, Huawei ec122, ni ya zantel, lkn naona wanazingua

Kwa free au hela...jitokeze chap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…