Ashraf omar
Member
- Feb 17, 2011
- 67
- 49
Nataka kueleweshwa zaidi maana na mimi nahitaji kuujua huu utaalamu mzee unaohusiana na simuunahtaji box ipi?

Walisema kosa ni kubadili IMEIUmesahau TCRA walisema nini kipindi cha kufungia simu feki?
hebu nicheki pm ili tuulizane na tueleweshane vizur nahc hapa tutakera others who are not interested... au weka phone no nkuchekNataka kueleweshwa zaidi maana na mimi nahitaji kuujua huu utaalamu mzee unaohusiana na simu
0752367766hebu nicheki pm ili tuulizane na tueleweshane vizur nahc hapa tutakera others who are not interested... au weka phone no nkuchek
Well said. Na mimi pia nilimshauri jamaa. Ili umiliki box inatakiwa pesa ikiwa yuko town means kuna simu aina mbalimbaliKuflash Simu haiitaji kwa Kiasi kikubwa Kuwa na Boxes
maana almost 70 percent ya simu zina flashika bila kuwa na box
binafs nipo kwenye hii kaz tangu mwaka jana japo tangu nikiwa chuo nilikua naflash simu za wanafunzi ila kiundani nmeanza last year... ningeweza kukushauri mambo kadhaa
miracle box na Volcano ni mabox maarufu sana kwakua yanafanya vitu vingi lakini katika ufanisi wa kutenda kazi hayafai
niamini mkuuu... fuata maelezo ya wakuu waliokwambia uangalie aina simu zinazopatikana maeneo uliyopo.
kama kuna wateja wengi wa simu za kichina kama (spd na MTK) yaani tecno, itel na wengine nakushauri first priority chukua infinity box, option ya pili ningeweza kukushauri iwe miracle box ..
uzuri wa miracle ukilipia inakuja na package ya simu zinazosuport zote , lakini infinity ndio nzuri ila kila aina ya jamii ya simu unalipia kivyake... mfano ili kuflash simu za mtk utalipia huduma ya mtk pia hivyo hivyo kwa qualcom na spd na nokia.
pia hizi simu za kichina linapokuja suala la ku unlock mtandao infinity inafyatua simu za kichina kiurahisi kuliko volcano na miracle....
lakini hayo mabox linapokuja suala la simu za gharama hasa samsung, lg na baadhi ya huawei Hayo mabox hapo juu hayana msaada sana... hapo utahitaji uwe na octoplus, octopus na zx3 ndo yanafaa zaidi
pia ukija kwenye visimu vidogo vya button hasa vya MTK, Coolsand, Spd, mstar na wengine Baba yao ni GPG box... Hili ni very cheap pia lina saidia na zle smartphone low quality za kichina zisizo na 3g, kutoa passwords na vitu vingine...
lakini pia Kuna ishu za ku unlock mtandao watu wanashauri uwe NCK, Sigma key na Furious box (japo mm mwenyewe sijawah tumia
lakini Muhimu Jifunze kuflash smu na Ku repair bila kutumia mabox kwanza ndo utaiva
'Ushauli mzuri' hata hivyo km Unajua kuflash simu huwezi kuuliza aina ya tools (We sell what we know a customer is going to buy not what we think a customer is going to buy)angalia soko lako mkuu, halafu ufanye research. yapo mabox yanaflash mediatek, kuna snapdragon kuna ya samsung etc, kuna mabox yanatoa lock za simu kama huawei mengine hayatoi, mengine yana support nzuri mengine hayana etc
cha muhimu angalia soko na simu gani zinakuja sana hapo halafu ndio ufanye maamuzi.
Siyo kweli kwamba huhitaji tools na hiyo asilimia yako ni ya uongoKuflash Simu haiitaji kwa Kiasi kikubwa Kuwa na Boxes
maana almost 70 percent ya simu zina flashika bila kuwa na box
binafs nipo kwenye hii kaz tangu mwaka jana japo tangu nikiwa chuo nilikua naflash simu za wanafunzi ila kiundani nmeanza last year... ningeweza kukushauri mambo kadhaa
miracle box na Volcano ni mabox maarufu sana kwakua yanafanya vitu vingi lakini katika ufanisi wa kutenda kazi hayafai
niamini mkuuu... fuata maelezo ya wakuu waliokwambia uangalie aina simu zinazopatikana maeneo uliyopo.
kama kuna wateja wengi wa simu za kichina kama (spd na MTK) yaani tecno, itel na wengine nakushauri first priority chukua infinity box, option ya pili ningeweza kukushauri iwe miracle box ..
uzuri wa miracle ukilipia inakuja na package ya simu zinazosuport zote , lakini infinity ndio nzuri ila kila aina ya jamii ya simu unalipia kivyake... mfano ili kuflash simu za mtk utalipia huduma ya mtk pia hivyo hivyo kwa qualcom na spd na nokia.
pia hizi simu za kichina linapokuja suala la ku unlock mtandao infinity inafyatua simu za kichina kiurahisi kuliko volcano na miracle....
lakini hayo mabox linapokuja suala la simu za gharama hasa samsung, lg na baadhi ya huawei Hayo mabox hapo juu hayana msaada sana... hapo utahitaji uwe na octoplus, octopus na zx3 ndo yanafaa zaidi
pia ukija kwenye visimu vidogo vya button hasa vya MTK, Coolsand, Spd, mstar na wengine Baba yao ni GPG box... Hili ni very cheap pia lina saidia na zle smartphone low quality za kichina zisizo na 3g, kutoa passwords na vitu vingine...
lakini pia Kuna ishu za ku unlock mtandao watu wanashauri uwe NCK, Sigma key na Furious box (japo mm mwenyewe sijawah tumia
lakini Muhimu Jifunze kuflash smu na Ku repair bila kutumia mabox kwanza ndo utaiva
Sikubaliani na kauli yako...learning is a process hizo theory ndo zinazuia wengi kuthubutu usitake kila mtu afuate njia moja....sorry but kuuliza ni njia ya kujifunza na nawashukuru sana baadhi ya wakuu ambao wamekuwa so positive...Ushauli mzuri hata hivyo km Unajua kuflash simu huwezi kuuliza aina ya tools (We sell what we know a customer is going to buy not what we think a customer is going to buy)
Wata kushauli kununua tools ambazo wanaziskia lakini kiutendaji siyo wame kushuri ununue Volcano box sawaSikubaliani na kauli yako...learning is a process hizo theory ndo zinazuia wengi kuthubutu usitake kila mtu afuate njia moja....sorry but kuuliza ni njia ya kujifunza na nawashukuru sana baadhi ya wakuu ambao wamekuwa so positive...
ipo humu jukwaani bure, just search utaipata'cracking world mimi nina software ya miracle box imemodiwa na haihitaji box kuflash naflash simu yoyote ile bila wasiwasi bila box only usb cable na pc.
Package nzima ni 2.5GB ikiwa na collection za required data files,drivers,mod nk.
ninatumia kuondoa partern,kuread partern,gmail,pasword,flashing,unbrick,repair phones software,upgrading,dwngrading,sim card unlocking na vingine vingi.
ukihitaji package hii nicheck inbox kwa bei poa. na pia ni vizuri uje uthibitishe inafanya kazi kweli au la.
Kizuri share na wenzako mkuu'cracking world mimi nina software ya miracle box imemodiwa na haihitaji box kuflash naflash simu yoyote ile bila wasiwasi bila box only usb cable na pc.
Package nzima ni 2.5GB ikiwa na collection za required data files,drivers,mod nk.
ninatumia kuondoa partern,kuread partern,gmail,pasword,flashing,unbrick,repair phones software,upgrading,dwngrading,sim card unlocking na vingine vingi.
ukihitaji package hii nicheck inbox kwa bei poa. na pia ni vizuri uje uthibitishe inafanya kazi kweli au la.
Naomba link mkuu... Nime search sijaipataipo humu jukwaani bure, just search utaipata
Cracked unataka kuiuza??'cracking world mimi nina software ya miracle box imemodiwa na haihitaji box kuflash naflash simu yoyote ile bila wasiwasi bila box only usb cable na pc.
Package nzima ni 2.5GB ikiwa na collection za required data files,drivers,mod nk.
ninatumia kuondoa partern,kuread partern,gmail,pasword,flashing,unbrick,repair phones software,upgrading,dwngrading,sim card unlocking na vingine vingi.
ukihitaji package hii nicheck inbox kwa bei poa. na pia ni vizuri uje uthibitishe inafanya kazi kweli au la.
Aise naihitaji Mimi nikutafutie sh ngapi'cracking world mimi nina software ya miracle box imemodiwa na haihitaji box kuflash naflash simu yoyote ile bila wasiwasi bila box only usb cable na pc.
Package nzima ni 2.5GB ikiwa na collection za required data files,drivers,mod nk.
ninatumia kuondoa partern,kuread partern,gmail,pasword,flashing,unbrick,repair phones software,upgrading,dwngrading,sim card unlocking na vingine vingi.
ukihitaji package hii nicheck inbox kwa bei poa. na pia ni vizuri uje uthibitishe inafanya kazi kweli au la.
link imeshaekwaNaomba link mkuu... Nime search sijaipata