John kirua
Senior Member
- Dec 7, 2021
- 143
- 108
Taasisi yangu wanahitaji fundi mchomeleaji mwenye cheti cha long course ambayo ni miaka 2 na mimi kutokana na swala la ada kusomea kozi ya miaka 2 sina.
Ila nahitaji kujua kuchomelea na ufundi kwa ujumla kwanza napenda hiyo kazi je, nifanyaje au nitumie njia gani kuweza kujua maana miaka 2 ni mingi sana halafu ada yake ni kubwa sina hiyo ela ya kulipa
Na boss wangu anahitaji mtu anayechomelea tu.