Msaada: Boss wangu ameniambia nikasomee uchomeleaji

Msaada: Boss wangu ameniambia nikasomee uchomeleaji

1. Ukienda kusoma atakulipa mshahara?
2. Una mkataba?
3. Hiyo miaka miwili nani atakua anafanya kazi yako?
Nipo kwenye taasisi ya umma inashughulika na mambo ya bomba so mm ni fund bomba lkn kuna team ofisin imeanzishwa Emegency ndan iwe na fund mchomeleaji ndio maan naitaji kwenda kujifunza
 
Kwanza huja Sema Wewe kazi yako nini hapo kazin kwako

Kuchomelea ame kwambia ukasomee je wew unapenda taaruma iyo??

Ada ya veta sio kubwa ndugu yangu kama kweli Wewe mfanya kazi mana ni elf 60 kwa mwaka kama unatoka nyumban na 150,000 kwa wanao kaa hostel kwa vyuo vya selikal.

Ingawa Kuna garama nyingine ndogo ndogo hazi wez kuzid laki NNE kwa mwaka

Kama Lengo ni Kuchomelea je unatakiwa ujue unachomea nini je inahusiana na mambo ya kufanya ubunifu wa Saman au ni kuchoma kuunga tuu vyuma. Kama Lengo kuchoma tuu miez mitatu inatosha veta au mtaan una weza
Yes napenda san taaluma iyo jambo lingne kuna team imeanzishwa ofisin mm ni fund bomba za maji so kutokana juhud zangu site ndio maana nimeambiwa nikajiendeleze uk nafanya kaz nikijua kuchomelea nikapata chet itakuwa poaw san
 
Mkuu ipo hivi kama ndo ujui kabisa anza kwa mafundi....

Veta utafata cheti....
We kule ukitoa mzigo wa kutosha wanakukatua gamba lako mapema tuu...
Ndio lengo langu maana naweza kujifunza mtaani nikajua je veta nikienda kupiganisha chet nitakipata..
 
Upo wapi? Asubuhi ingia kazini, mchana kuanzia saa name ingia mafunzoni VETA Hadi saa 12 jioni.

Ukipata ujuzi HATA bosi huyo asipokuajiri sisi Kama " SERIKALI SIKIVU TUTAKUAJIRI KWENYE MIRADI YA KIMKAKATI KAMA BOMBA LA MAFUTA LA HOIMA AU MRADI WA SGR".
 
Upo wapi? Asubuhi ingia kazini, mchana kuanzia saa name ingia mafunzoni VETA Hadi saa 12 jioni.

Ukipata ujuzi HATA bosi huyo asipokuajiri sisi Kama " SERIKALI SIKIVU TUTAKUAJIRI KWENYE MIRADI YA KIMKAKATI KAMA BOMBA LA MAFUTA LA HOIMA AU MRADI WA SGR".
Asante kwa ushauri mzuri🙏
 
Nenda gereji ukawe nyokaa sema wale mafundi wanaroho mbaya kinyama ukiwa nyokaa wakati unachomelea wanakulazimisha uangalie moto wanakwambia angalia kazi, mziki ni usiku ukitaka kulala unahisi macho yamejaa mchanga
Nimecheka
 
Back
Top Bottom