Msaada bodi ya mikopo tafadhali!

Mr egm

Senior Member
Jan 24, 2014
153
6
Naombeni Msaada wenu niliomba mkopo mwaka huu.
Juz wametoa majina ya ambao form zao ni incomplete ila na langu lipo.
Nina kopi lakini kila Mahali nimepajaza kiusahihi ila wao wamesema hakuna sahihi yang; na hakuna sehem sijatia sahihi,nishaurini nifanyeje watumishi wa Mungu!
 
wewe fuata tu wanachotaka... fanya marekebisho usije ukalia pekeyako chuoni, kama unaweza nenda ofisini kwao Dar mapema sana.
 
Asante mkuu ila nahisi makosa ni hao ktk kupick maana nimeijaza kila kitu haina makosa kabisa!
 
Naombeni Msaada wenu niliomba mkopo mwaka huu.
Juz wametoa majina ya ambao form zao ni incomplete ila na langu lipo.
Nina kopi lakini kila Mahali nimepajaza kiusahihi ila wao wamesema hakuna sahihi yang; na hakuna sehem sijatia sahihi,nishaurini nifanyeje watumishi wa Mungu!
Chukua kopi yako ya fomu then nenda bodi ya mikopo mwenyeo, hakuna namna nyengine zaid ya hiyo.
 
Asante mkuu ila nahisi makosa ni hao ktk kupick maana nimeijaza kila kitu haina makosa kabisa!

kama wamekosea wao itajulikana hukohuko..we nenda... usilete masihara na mkopo labda kama utaweza kujilipia ada... kosa dogo tu linaweza kukugharimu, we nenda kwanza hayo mengine itajulikana hukohuko
 
Asanteni sana!
Kwa dar office zao ziko Mahali gani!??

Higher Education Students' Loans Board
Plot No. 8, Block No. 46, Sam Nujoma Road, Mwenge,
P. O. Box 76068
Dar es Salaam
Tanzania.

Natumai hutapotea
 
Ukiangalia fomu yako kwa juu imejieleza mahali walipo kila kitu kiko hapo mpaka anuani yao na Telph no waweza kuwapigia kwa maelezo zaidi. Au hiyo fomu kuna mtu alikujazia nini?
 
Naombeni Msaada wenu niliomba mkopo mwaka huu.
Juz wametoa majina ya ambao form zao ni incomplete ila na langu lipo.
Nina kopi lakini kila Mahali nimepajaza kiusahihi ila wao wamesema hakuna sahihi yang; na hakuna sehem sijatia sahihi,nishaurini nifanyeje watumishi wa Mungu!
Nenda mkuu usibishe hata mie iliwai nitokea nikjiamini kila kitu niko sahihi kufika pale bodi ikaonekana sahihi ya mdhamini imekosekana ni marekebisho ambayo ni raisi kuyatatua usivunjike moyo
 
Ukiangalia fomu yako kwa juu imejieleza mahali walipo kila kitu kiko hapo mpaka anuani yao na Telph no waweza kuwapigia kwa maelezo zaidi. Au hiyo fomu kuna mtu alikujazia nini?

Nilijaza mwenyew aisee!!;
 
Nenda mkuu usibishe hata mie iliwai nitokea nikjiamini kila kitu niko sahihi kufika pale bodi ikaonekana sahihi ya mdhamini imekosekana ni marekebisho ambayo ni raisi kuyatatua usivunjike moyo

Asante!!
 
Back
Top Bottom