Msaada: Biological Father maana yake nini?

Msaada: Biological Father maana yake nini?

Ww unataka kujua nn hasa..........

Mamb mnayafany magumu kwa kupeleleza maisha ya wengine

Biological father ni baba wa biology hujui hata kutranslate!!!!!!!!!
 
Yule alie Toa shahawa zake mpaka ilawa mimba
 
Cjakuelewa

Ulidhani BIOLOGY peke yake ndio ngumu kuielewa?

Hata wana JF ni vigumu kuwaelewa kuliko hata hiyo biological father.

Endelea kusoma dictionary, ukifika kurasa za mwisho utakuta avatar yangu
 
Kama umeambiwa....mambo 2 yafuatayo....kuhusu hilo...dai chako ...:kama umeambia mtoto unaemlea wewe sio biological father...au huyo baba ako aliyekulea sio biological father wako....ulizia alipo kwa b'mkbw au wanaojua....
 
Hiv wanavyosema biological father wanamaana gan?

Mkuu Kushaibiwa Nini?
By the way! Biological father is the man whose semen fertilized the ovum from which a child was born.

Ni yule Mchizi aliyebandika mimba...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom