Msaada Biashara ya Library

Habari wakuu, katika maisha yangu sasa nimuda ambao ninauwona ni sahihi kwangu kuanzisha biashara na kutokana na mtaji nilio nao pia kutokuwa na muda wa kukaa kutokana na majukumu mengine ya maisha biashara ya kukodisha CD nimeona ni biashara nzuri ya kuanza nayo hivyo nataka niazishe hii biashara mapema mwezi ujao.
Katika kuhakikisha biashara hii italeta faida kwa upande wangu nimetafuta sehemu mbalimbali na kuwashilikisha wadau walio kwenye hii industry nimepata sehemu moja ambao ninamatumaini nayo makubwa.
Ifahamike tu kuwa sasahivi kila aina ya biashara ipo kilasehemu especially hii biashara ya library nimeiyanza kuifikilia week mbili nyuma ila kipindi hiki kifupi tu nimeshuhudia Library tatu kwa mfuatano zimefunguliwa sasa kitu pekee ninachotaka kukifanya niwe tofaiti na hawa wengine ili nilishinde soko na niwe Guru pekeyangu kwenye hii industry.

Nilifikilia business strategy mbalimbali ili ku-win soko kama zifuatzo
1) kila mteja nitampa Contact za WhatApp then nawaunga kwenye group ambalo nawapa update za CD mpya nilizonazo na kiwaadithia CD nilizonazo ili kuwapa motisha ya kuiitaji CD ninayowapa hadithi kidogo kuhusu iyo CD.
2)Kuwatangazia Ofeer mbalimbali kwakipindi furani akikodi CD
3)Kutoa huduma ya kiwawekea Movie wasio na TV ila wanazo Smart nakwenda mbalk zaidi kama simu zitakuwa na storage haitoshi kuwa na vimemori vidogo ambavyo unamuwekea movie anaenda kuangalia then anairudisha.
4)Kufanya deliver kwamtu anayekodi kuanzia CD za 1000+ nk endapo atahitaji.
5) ya mwisho ambayo nikubwa kujalibu kutengeneza group la WhatsApp ambalo linaunganisha watu wote wa mtaani lenye jina na Icon ya biashara yangu humo ndani tutakuwa tunatoa update na stori mbalimbali za movie mpya nilizonazo nk.

Hizo ni baadhi ya njia tu nilizozifikilia nahitaji michango yenu wadau na mawazo, endapo kuna njia nyingine unaiyona itafaa kupanua soko langu shea na mimi hapa.

Nawasilisha October man.
 
Mkuu haitokulipa biashara ya CD inakufa si muda mrefu kama ilivyokuwa kwa tape za radio, hizo movie za kikorea zilizowekwa kwenye CD zilizotafsiliwa zina mvuto pale tu zinapoonyeshwa kwenye mabanda ya filamu.
Ni mara mia uwawekee kwenye flash na external CD utafeli ni maoni yangu
 
Mkuu pia humo nitaweka ila mku mtaani wajaelewa flash bado na external ni CD tu na wengi wanaokodi ni wamama
 
Mkuu pia humo nitaweka ila mku mtaani wajaelewa flash bado na external ni CD tu na wengi wanaokodi ni wamama
Vp kama ukafanya vyote kwa pamoja kwamba akija anetaka cd apate akija pia mwenye flash yake apate...me naona iyo itakua ina mater zaidi...ni kwa upande wangu
 
Mkuu pia humo nitaweka ila mku mtaani wajaelewa flash bado na external ni CD tu na wengi wanaokodi ni wamama
Naelewa zinatazamwa sana na vijana wa shule na wanawake. Sijasema usifanye ila ni biashara ambayo haitadumu nawe. Yani itafika muda tu wataacha kuangaika na CD
 
Back
Top Bottom