Hivi mtaalamu naweza kutumia wino gani wa gharama nafuu kwa printer ya HP 2050HP 1515 kwa around 100,000
Hivi mtaalamu naweza kutumia wino gani wa gharama nafuu kwa printer ya HP 2050HP 1515 kwa around 100,000
Sifahamu mkuu, ila hizi zinatumia catridge, mara ya mwisho nilipata around 50k uhuru kkoo.Hivi mtaalamu naweza kutumia wino gani wa gharama nafuu kwa printer ya HP 2050
Nasikia kuna maujanja ya kuziwekea wino kwa sindano sasa sijui ni wino upi wanaouwekaSifahamu mkuu, ila hizi zinatumia catridge, mara ya mwisho nilipata around 50k uhuru kkoo.
Sina uhakika mkuu kama catridge wanaweka na sindano pia, ninavyofahamu ni zile zenye Matank ndio wanajazia wino.Nasikia kuna maujanja ya kuziwekea wino kwa sindano sasa sijui ni wino upi wanaouweka