Msaada: Bei ya dish of a decoder

afande kifimbo

JF-Expert Member
Aug 31, 2015
6,303
2,713
Habari wana JF,

Naombeni kujua wastani wa bei ya dish kwa ajili ya kingamuzi ambacho inatoa free channels yani sio cha kampuni fulani mfano Starimes, Azam etc chenyewe kinahitaji dish kupata free channels sa dish zinazofaa kwahiyo decoder huwa wastani wa bei ni upi, atleast niwe na picha fulani ya budget ya dish au ungo.

ASANTENI
 
Hakikisha unapata MPEG4 decoder.

Bei ni kati ya tsh 120,000 hadi 300,000 ( inategemea na model/ brand ya hiyo decoder)

PITIA HII LINK
> Chaneli 100 bure hapa ni suluhisho na njia ya kuepuka visimbusi vya kulipia
> Strong 4922 decoda bora kwa FTA Television chanels

NB:- Usinunue MPEG2 decode ambazo huuzwa kwa bei ya chini ya kati ya tsh 40,000 - 100,000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom