MSAADA UKOKOTOAJI WA MALIPO YA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Wataalamu naombeni msaada. Kuna vifaa fulani vya michezo ya watoto nataka kuviagiza nje ya nchi.

Kampuni iko South Africa wameniambia mzigo utatokea USA na utashushwa Bandari ya Dsm. Bei waliyonipatia wamesema VAT ni excluded na pia masuala ya clearing bandarini ni juu yangu.

Hivyo nimeona kabla sijalipia huo mzigo ambao unagharama kama ya Mil. 9 za kibongo nije kwa wataalamu ili nijiandae kujua usumbufu wa Clearing bandarini na gharama zake lkn pia na gharama za VAT kwa mzigo huo itakuwa kama sh. ngapi?

Asanteni sana
 
VAT,ada za cf,ada za bandari,import duty.Ushauri nenda TRA customs department declare iitems kwa kutumia invoice walokupatia jamii then wataweza kukupa estimates kwa kutumia HS code na aina ya bidhaa.Hata hivyo wanaweza kukusumbua kwa ninavowajua TRA
 
Asante sana mkuu
 
Hili ndio tatizo kubwa, wao huwa wanataka kushughulikia mzigo ambao tayari uko nchini.

Je kwanini usiagize direct kutokea USA?
Tatizo usafr , agent wote wa usafrishaji wamerundikana China, air cargo nayo ni too cost
 
Na hii Ndio Sababu inafanya biashara iwe ngumu,rushwa ijae TRA,na nafasi za TRA zikitangazwa kila mtu aombe.WIZI WIZI tu.
Hili ndio tatizo kubwa, wao huwa wanataka kushughulikia mzigo ambao tayari uko nchini
 
Back
Top Bottom