Msaada: Basi luxury la Dar - Tabora

Msaada: Basi luxury la Dar - Tabora

kuna basi jipya luxury linaitwa tabora moja rangi ya kijani ,linapaki na ofisi zao zipo magomeni mapipa karibu na hotel ya jangwani.nenda mkuu ukawasiliane nao.

ahsante mkuu
 
Ulizia Saratoga au Adventure za DAR-KIGOMA zinapitia Tabora kiitu 2 by 2,ukibahatika kuna moja lina sehemu ya kuchaji.Pia msosi na vinywaji hutolewa
 
Kuna basi jipya luxury linaitwa TABORA MOJA rangi ya kijani ,linapaki na ofisi zao zipo magomeni mapipa karibu na hotel ya jangwani.Nenda mkuu ukawasiliane nao.

Hili basi bado ni jipya nimeliona tbr wiki 2 zilizopita, ila nasikia ni kigogo 1 wa chama chetu tawala ambae nae alikuwa mstari wa mbele kumtukana enl kuwa fisadi, sasa hizo pesa za kumiliki hayo mabasi kapata wapi kama sio wizi
 
Heeee barabara kuanzia singida vumbi??singida ipi hiyo??kama hujui usipoteze wenzio loooh..no lami ww acha uongo
 
Mkuu humu JF kuna watu wanajifanya wajuaji sana, jitu alijafika Tabora miaka zaidi ya 10 iliyopita.
Kuna luxury bus za kutosha tu, hadi Kigoma kuna luxury bus.

Nashangaa juzi nilikuwa na safari ya kwenda Dodoma nimepanda luxury NBS kutoka Tabora sikutamani kushuka nilitanani niendelee sema ujuaji wa ajabu
 
Hakuna mabasi luxury Dar-Tabora, yote ni siti za Two by three tena ni NBS kwa sababu kutoka Singida pale barabara ni vumbi matajjiri wengi hawapeleki magari mazuri. Kama unaweza panda ndege au panda ya Mwamza then ulale kesho yake ndo uende Tabora

Mbona kuna mabasi luxury ya Dar Kigoma Via Tabora? tena ni Yutong aMbazo ni saratoga na adventure...ila ni kweli luxury kwa Tabora sijawahi ziona
 
saratoga lines, adventure connection, nbs, tabora moja, hayo yote ni mabasi safi, 2 by 2 na yana viyoyozi ndani, hakuna karaha ya vumbi.
 
Mkuu usiwasikilize hao wenye kukukatisha tamaa, Tabora kwasasa kipande cha vumbi ni km 85 tu lakini kwingine kote mkeka. Hivyo mabasi mazuri yapo kwa route hiyo.

NBS ndiyo best luxury BUS kwa usafiri wa Dar - Tabora hivyo booking yake inabidi uifanye mapema, kuna jingine Jipya linaitwa Tabora Moja Express ni LUXURY pia lakini suala la usafi ndani halijapewa kipaumbele sana(nimeliupanda mara moja nika observe hilo may be wamebadilika kwasasa) Hivyo kama ni mtu wa kinyaa sana sikushauri. Lakini ni basi zuri sana na linatembea si mchezo.
 
Habari wana jf?

Naomba kujua basi luxury linalofanya safari za Dar-Tabora. Kuna ndugu yangu ana mtoto mchanga anatarajia kusafiri hivi karibuni,sasa ili asafiri comfortably ningependa apande basi zuri.

Kwa anayejua naomba anijulishe.

Natanguliza shukurani zangu kwenu.

Ahsante

kuna basi linaitwa tabora moja ni jipya nadhani litafaa
 
Hakuna mabasi luxury Dar-Tabora, yote ni siti za Two by three tena ni NBS kwa sababu kutoka Singida pale barabara ni vumbi matajjiri wengi hawapeleki magari mazuri. Kama unaweza panda ndege au panda ya Mwamza then ulale kesho yake ndo uende Tabora

Unakijua unachoongea au unaota? mtu mwenye busara anachangia kitu anachokijua....
 
Nbs wazuri sana tens sana...wana basi mpya kwa dar tabora.....wapo poa sana kwa usafirishaji
 
Back
Top Bottom