MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,564
- 8,876
Wabongo bhana, Kwa Tanzania hakuna Luxury Bus hata moja, kuna semi Luxury tena Dar Express, Scandnavia ndo kampuni pekee iliyo kuwa na Luxury Bus tena hazizidi tano, tatizo tunazani basi likisha kuwa na siti za 2 x 2 basi hilo ni Luxury, hata costa zina sit za 2 x 2.
Kuna wale jamaa wa Chama cha kutetea Abilia wameisha wahi sana kuongea haya mambo ya Luxury na watafute wawape ufafanuzi na jinsi watu wanavyo pumbazwa na Yutong wakizani ni Luxury bus
Kuna kampuni moja ya Kenya inaitwa Modern Cost wanazo Luxury sijajua kama zinazo kuja Dar nazi ni Luxury ila ukienda Nairobi to Momabsa wanazo ukiingia ndani ndo utagundua kwamba huku Bongo watu wanaibiwa sana.
Hizi mtaziitaje?