Msaada: Bahati nasibu

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
Wapendwa wangu amani ya Mungu wetu na iwe juu yenu.

nimekuja mbele zenu nikiwa na shida ya kuomba kuelezwa taratibu ZOTE za kuanzisha BAHATI NASIBU.

I hope nimeeleweka, ila kama sijaeleweka nitajieleza tena.

Thanks in advance n be blessed all of u.

lav you all.

Cheusimangala.
 
Hapa jibu litakuwa bahati nasibu,nenda pale National Lottary...... Wao watakupa kila kitu.
 
Hivi cheusimangala kweli wewe nicheusi na avator yako mhnn!! ok kuhusu Bahati nasibu nao wzi wanachukua ten% hata ukienda kuulizia taratibu zakuendesha bahati nasibu za makampuni haya yanayokwapua pesa yetu eti jikoki,mkoko,mzuka wizi mtupu wao walishakula chao mapema mapesa!!! nawanashukuru hawabughudhiwi kwakuwa kataasisi kenyewe kadogo na sijui Tarimba bado yupo huko maana kanaendeshwa na wazee wa mjni!!!:mad2:
 
Unataka kuwaibia watz kama wafanyao voda,tigo nk!?

tangu hizi bahati nasibu zimeanza sijawahi kukutana na mtu hata mmoja nnayemfahamu ambaye ameshinda especially the big zawadiz.

mtu ambaye ana ukaribu na yeyote aliyewahi kushinda atueleze ni bahati nasibu ya ukweli au mizengwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom