nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,910
watu wengine bana..........subiri anko akugegede 0713 uje uombe tana ushauri!
wewe hujawahi kugawa uroda nje ndoa yako

Haikuwa dhamira yangu kumsaliti Uncle wangu, namuheshim sana,
lakini kutokana na vituko vya Aunt kunizidia ndipo nikajikuta nimetenda naye tendo.
Ikawa ngumu kuuacha mchezo huo kutokana na kile nilichokikuta kwake, nikajiona mshamba wa mapenzi kwa upya wa huba zake kwangu kila wakati.
Mwisho sikuutambua, mpaka ilipofika wiki iliyopita aliponiambia kwamba ana mimba yangu, na ni hakika na kweli kwamba yaweza kuwa yangu,
Anataka kuitoa, jambo ambalo naliona ni dhambi kubwa zaid kwa Mungu, yatosha dhambi ya kwanza,
Lakini pia nahofia ndoa yake na Mjomba wangu, itakuwaje atapojua kwamba mtoto si wake,
naombeni ushauri wenu tafadhari,
aiseee hii dunia hadi ifike mwisho wake tutaona kila kiroja?
hata mke wa mjomba mnakwida?
nakumbuka posti yako hii uliileta nov Nimepata nafasi ya kufanya mapenzi na mke wa mtu, lakin cha ajabu hata mara moja hajakosea na kutaja jina la mumewe, muda wote wa shughuli kataja jina langu tena kwa hisia kali, tofauti na nilivyotegemea, yaweza kuwa na maana gani hii
Nyie watu mna laana! Najuliza
hata ujasiri tu wa kusimulia (kwa 'majisifu') madhambi kama haya mnautoa
wapi? Hii ni hatari sana. Mtu ukifika mahali huna maadili ambayo
unaweza kuyasimamia bila shuruti yoyote kutoka kwa jamii ni hatari
sana.
but kama nilivyosema mwanzo, sikuwah kumtaka wala kumtamani, ila tatizo lilikuwa kwake, hakuona aibu kuniweka dillema, na mwisho nikanata bila kujijua, pliz nishaurini, msinitusi, mwaniongezea fikra, ilhali kosa ni lake
wewe hujawahi kugawa uroda nje ndoa yako
Haikuwa dhamira yangu kumsaliti Uncle wangu, namuheshim sana,
lakini kutokana na vituko vya Aunt kunizidia ndipo nikajikuta nimetenda naye tendo.
Ikawa ngumu kuuacha mchezo huo kutokana na kile nilichokikuta kwake, nikajiona mshamba wa mapenzi kwa upya wa huba zake kwangu kila wakati.
Mwisho sikuutambua, mpaka ilipofika wiki iliyopita aliponiambia kwamba ana mimba yangu, na ni hakika na kweli kwamba yaweza kuwa yangu,
Anataka kuitoa, jambo ambalo naliona ni dhambi kubwa zaid kwa Mungu, yatosha dhambi ya kwanza,
Lakini pia nahofia ndoa yake na Mjomba wangu, itakuwaje atapojua kwamba mtoto si wake,
naombeni ushauri wenu tafadhari,
Haikuwa dhamira yangu kumsaliti Uncle wangu, namuheshim sana,
lakini kutokana na vituko vya Aunt kunizidia ndipo nikajikuta nimetenda naye tendo.
Ikawa ngumu kuuacha mchezo huo kutokana na kile nilichokikuta kwake, nikajiona mshamba wa mapenzi kwa upya wa huba zake kwangu kila wakati.
Mwisho sikuutambua, mpaka ilipofika wiki iliyopita aliponiambia kwamba ana mimba yangu, na ni hakika na kweli kwamba yaweza kuwa yangu,
Anataka kuitoa, jambo ambalo naliona ni dhambi kubwa zaid kwa Mungu, yatosha dhambi ya kwanza,
Lakini pia nahofia ndoa yake na Mjomba wangu, itakuwaje atapojua kwamba mtoto si wake,
naombeni ushauri wenu tafadhari,
siko kwenye ndoa bado!
sio ndoa tu hata kama ni relationship ya kawaida unaweza kucheat.
Hayatuhusu.