kwa kweli ukistaajabu ya musa basi utaona ya firauni,, na hili naliona la firauni ? / ?
sasa wewe ukanogewa kabisa, hadi ukawa addicted, hata akapata uja?
tena na bado baaada ya kukutoa ushamba naamini unaendelea kugonga kitu,, kilaini,,,, kudadeki
sasa kama ni dhambi ushatenda apa,, unahitaji tu maombi kwa sasa, unahitaji ufanye malipizi ya dhambi,,
tena ili kutunza ndoa ya ankle ukae kimya hilo ndo litakalokua mzigo kwako,, hio ndo adhabu yako,
unajua ukimya ulivo mbaya,,, ? unamwangalia ankle wako anamlea mwanao,, siku zote,, ombea msije mkawa watu mnaoamini katika mambo ya mila maana itakula kwako,
kama mila zinakuwaga kweli , ,,
pili unahitaji umwone dakitare akushauri, akupe tiba, psychotherapy ya kukufanya uachane na huyo anti ako maaana
unavosimulia kwa kujisifu utadhani ni jambo la heri,,, kumbe umetenda dhambi,,
mimi nina dhambi zangu,, naomba nisiwe judgemental ni ushauri tu,,, ,,