Msaada: Aunt (shangazi) yangu ana mimba yangu,

ntarudi baadae kaka, sitaki hata kuwaza uliwezaje hilo
 
aiseee hii dunia hadi ifike mwisho wake tutaona kila kiroja?
hata mke wa mjomba mnakwida?
nakumbuka posti yako hii uliileta nov Nimepata nafasi ya kufanya mapenzi na mke wa mtu, lakin cha ajabu hata mara moja hajakosea na kutaja jina la mumewe, muda wote wa shughuli kataja jina langu tena kwa hisia kali, tofauti na nilivyotegemea, yaweza kuwa na maana gani hii
 
Nyie watu mna laana! Najuliza hata ujasiri tu wa kusimulia (kwa 'majisifu') madhambi kama haya mnautoa wapi? Hii ni hatari sana. Mtu ukifika mahali huna maadili ambayo unaweza kuyasimamia bila shuruti yoyote kutoka kwa jamii ni hatari sana.
 
shangazi si ndugu yako, hamjachangia damu. Endelea kula mzigo na mtoto akikua mwongeze tena
 
Haikuwa dhamira yangu kumsaliti Uncle wangu, namuheshim sana,
lakini kutokana na vituko vya Aunt kunizidia ndipo nikajikuta nimetenda naye tendo.
Ikawa ngumu kuuacha mchezo huo kutokana na kile nilichokikuta kwake, nikajiona mshamba wa mapenzi kwa upya wa huba zake kwangu kila wakati.
Mwisho sikuutambua, mpaka ilipofika wiki iliyopita aliponiambia kwamba ana mimba yangu, na ni hakika na kweli kwamba yaweza kuwa yangu,
Anataka kuitoa, jambo ambalo naliona ni dhambi kubwa zaid kwa Mungu, yatosha dhambi ya kwanza,
Lakini pia nahofia ndoa yake na Mjomba wangu, itakuwaje atapojua kwamba mtoto si wake,

naombeni ushauri wenu tafadhari,

Kuficha aibu mtakayo pata tafuteni dhaifu mmbambikizie
 
Mjomba hana binti wa kike? pitia na huyo wewe kidume cha mbegu. Inaelekea ni mtaalam sana wa kurusha maji.
 
hahah na ndio maana unashauriwa usigegede mke wa mtuu..kwanza mke wa mtu ndom sumu...hawezi kabisa kutumia ndom maana utamu halisia alishaujua haha....bora mie najikamayia dada poa kwa raha zangu stress za mimba hamna.

la kufanya hapo ni bora tuu atoe hiyo mimba mwana...ndio alichokuwa anataka sasa yeye anajua kabisa mke wa mtu na anagegedwa na wewe hivyyo angehakikisha ashiki mimba
 
Haikuwa dhamira yangu kumsaliti Uncle wangu, namuheshim sana,
lakini kutokana na vituko vya Aunt kunizidia ndipo nikajikuta nimetenda naye tendo.
Ikawa ngumu kuuacha mchezo huo kutokana na kile nilichokikuta kwake, nikajiona mshamba wa mapenzi kwa upya wa huba zake kwangu kila wakati.
Mwisho sikuutambua, mpaka ilipofika wiki iliyopita aliponiambia kwamba ana mimba yangu, na ni hakika na kweli kwamba yaweza kuwa yangu,
Anataka kuitoa, jambo ambalo naliona ni dhambi kubwa zaid kwa Mungu, yatosha dhambi ya kwanza,
Lakini pia nahofia ndoa yake na Mjomba wangu, itakuwaje atapojua kwamba mtoto si wake,

naombeni ushauri wenu tafadhari,
kama umeowa mwambie anko naye aje amjaze mkeo mimba na kama hujaowa basi hata demu wako.........
 
Afu hawa wanaotafuta 'attention' sijui wana kumbukumbu ndogo?..hata sielewi sijui ni utoto...sheria ya ukiwa muongo basi uwe na kumbu kumbu...mwingine alitupia hapa utumbo wake kuwa anazini na mkwewe huku kwenye thread nyingine muda huo huo akijigamba ni mwanafunzi wa mabibo...hebu angalia na huyu...
Nadhani madogo wamegundua pengine kwao ndio style cheap ya kujilipua...damn!!

aiseee hii dunia hadi ifike mwisho wake tutaona kila kiroja?
hata mke wa mjomba mnakwida?
nakumbuka posti yako hii uliileta nov Nimepata nafasi ya kufanya mapenzi na mke wa mtu, lakin cha ajabu hata mara moja hajakosea na kutaja jina la mumewe, muda wote wa shughuli kataja jina langu tena kwa hisia kali, tofauti na nilivyotegemea, yaweza kuwa na maana gani hii
 
Hii ni ngumu kumeza hata kushauri maana imekaa vibaya,ukitaka kuchagua moja jingine linagoma.
Kwa sasa tulia tu usubiri matokeo maana hakuna namna ya kukushauri cha kufanya.
 
haikuwa dhamira yangu kumsaliti uncle wangu, namuheshim sana,

lakini kutokana na vituko vya aunt kunizidia ndipo nikajikuta nimetenda naye tendo.
Ikawa ngumu kuuacha mchezo huo kutokana na kile nilichokikuta kwake, nikajiona mshamba wa mapenzi kwa upya wa huba zake kwangu kila wakati.
Mwisho sikuutambua, mpaka ilipofika wiki iliyopita aliponiambia kwamba ana mimba yangu, na ni hakika na kweli kwamba yaweza kuwa yangu,
anataka kuitoa, jambo ambalo naliona ni dhambi kubwa zaid kwa mungu, yatosha dhambi ya kwanza,
lakini pia nahofia ndoa yake na mjomba wangu, itakuwaje atapojua kwamba mtoto si wake,

naombeni ushauri wenu tafadhari,

laaaaaaaaaana tulwahiiiiiiiiiiiii! Mwenyezi mungu akulaani kula vya uncle wako!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
aiseee hii dunia hadi ifike mwisho wake tutaona kila kiroja?
hata mke wa mjomba mnakwida?
nakumbuka posti yako hii uliileta nov Nimepata nafasi ya kufanya mapenzi na mke wa mtu, lakin cha ajabu hata mara moja hajakosea na kutaja jina la mumewe, muda wote wa shughuli kataja jina langu tena kwa hisia kali, tofauti na nilivyotegemea, yaweza kuwa na maana gani hii

Smile kuna wakina shigongo huku wanaojaribu kuona kama wanaweza kutunga story ikauza!!! Wanakuza vipaji.
 
Back
Top Bottom