chardams
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 2,450
- 1,753
Ndugu yangu laana zingine za nini kujichumia? ulionja siku moja na hukuacha hii ndio principal ya dhambi mpaka izae tunda. Kwanini ulishindwa kumwepuka hata kama alijilengesha kwako? common sense could have avoided this. By the way maji yameshamwagika kwanza omba toba kwa Mungu kwa sababu kuna consequences kubwa ambayo umeipanda kwa ajili ya vizazi vyako usipotuba believe me itajirudia mpaka uzao wako wa kizazi cha nne.
Na kujirudia kwenyewe ni kwamba hata wewe mke wako ataliwa na mpwa wako naye atampa mimba kama ulivo fanya.
Kijana huna hata aibu, mtaani hapo mnapoishi hakuna mabinti. mwana hizaya mkubwa weye.