Dividend
JF-Expert Member
- Jan 15, 2017
- 2,097
- 3,331
Wakuu kwema?
Kuna matangazo ya kazi uwa yanatoka kwa lugha ya kiswahili, hivi kuna ubaya kama nikiandika Application letter kwa lugha ya kingereza?
Ninauliza hivi kwa sababu CV zetu zimeandikwa kwa lugha ya kingereza, na ni ngumu kuzibadilisha kwenda kiswahili.
Swali: Inawezekana kuandika Application Letter kwa kiswahili then CV iwe kwa kingereza?