Msaada anayefahamu kuhusu 'Samsung Galaxy A14 5G

Msaada anayefahamu kuhusu 'Samsung Galaxy A14 5G

hizi refub inaonekana ni patapotea yan nizakubahatisha nyingi zimechoka
Kuna ambazo zipo vizuri ukibahatisha
Ninayo s 10+ nimeinunua tangu 2020 ikiwa ni refub ila ipo vizuri hadi leo
Sema niliidondosha ikapasuka kioo kidogo ila bado inapiga mzigo fresh tu
 
Kama upo Dar bora usogee viunga vya China Plaza ujionee maajabu ya bei. Nauhakika hautachukua iyo Samsung A14 tena, utapata kitu kikalii ila usijichanganye ukachukua iPhone yoyote.
ahsante
 
Kwny kuitambua ambayo bdo ipo kwny hal nzur ndo mtihan maana c mtaalam kweny hzo mambo
Huwaga Nina jamaa mmoja nikitaka kununua naenda naye anajua simu vizuri mno
Labda nimuombe kama Ana namba ya muuzaji anipe nitatuma hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom