Msaada anayefahamu kuhusu 'Samsung Galaxy A14 5G

Msaada anayefahamu kuhusu 'Samsung Galaxy A14 5G

Sal pa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2023
Posts
220
Reaction score
323
Habari wana JF !

Nimekusudia kumiliki simu hii ila bei yake kwa sasa siijui, so kwa yeyote anae jua bei yake naomba anifahamishe na wapi sehem duka ambalo nawez ipata og yenyew hapa Dar maana nakutana na wengne wana lalamika kuuziwa feki.
 
Budget yako ni ngapi mkuu? Maana hiyo series imeshakuwa zilipendwa, A15, A25 zimeshatoka tayari✅
 
Kwa bajeti hiyo si uende kko upate tu mtumba wa samsung note 9 na change ibaki ufurahie technolojia ya flagship phone
vp una uzoefu na hzo used? Hyo note 9 inabei gan
 
Habari wana JF !

Nimekusudia kumiliki simu hii ila bei yake kwa sasa siijui, so kwa yeyote anae jua bei yake naomba anifahamishe na wapi sehem duka ambalo nawez ipata og yenyew hapa Dar maana nakutana na wengne wana lalamika kuuziwa feki.
Unataka ukope????maana kma mkopo simu inakwenda million moja kasoro[emoji2]
 
Laki 4 Kingsmann, post: 49079375, member: 510607
Screenshot_2024-01-17-10-54-22-819_com.twitter.android-edit.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom