Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,698
- 2,886
SureSamsung A series hamna kitu
Jipatie samsung S series utafurahia
SureSamsung A series hamna kitu
Jipatie samsung S series utafurahia
Hio S 24 Ultra kibongo bongo tegemea kiasi kisichopungua 3.5M, Gharama zinatofautiana kutokana na locationsHiyo 23 tuachane nayo.. S24U huko itakua kiasi gani?
Imetanganzwa leo nimeona
andaa 3M na upuuz maan inakuj na technology ya tofautOk, na 24 iliotoka leo inategemewa kua kiasi gani?
450kbei yke ?
[emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wana JF mtaniuwaSifahamu nadhani inaingia hata kwenye mil mbili hivi mpya kabisa
Yangu sikuinunua hapa
Usife kwanza[emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wana JF mtaniuwa