Msaada ameyakanyaga Bank ya ABC

Ok yeye anaishi mbali kidogo na huyu nduguye, sasa alihitaji pesa kurahisisha usafiri kwenda huko msibani na kujipanga kwa lolote la ziada.
OK sawa mkuu ila mambo ya misiba Watanzania wana kawaida ya kusaidiana sana mwambie jamaa abadilike akipata matatizo hatokwenda Bank kuomba msaada watu anaowasaidia ndio watakaomsaidia pia watu wapo kazini ila kutoa Ten tuu pindi mtaani kukiwa na janga wanaona kama anatoa damu..
 
Mkuu wangu
Elimu ya mkopaji ni level ipi?

Atafute ofisi ya wanasheria watamshauri
 
Sijakuelewa yaani msiba upo mikoani huku zaidi ya 1000km kutoka unapoishi halafu upatwe na msiba hao majirani zako wakuchangie nauli uende na kurudi?..

.pia washughurikie gharama zote za huko uendapo?
 
Inawezekana ni uzembe wa muajiri kumuingiza kwenye makato; mkopo unatoka baada ya kuingizwa kwenye makato.
Kabla ya kwenda mbali, aanze na HR wake, je alimwingiza kwenye makato ya bank?
 
Sijakuelewa yaani msiba upo mikoani huku zaidi ya 1000km kutoka unapoishi halafu upatwe na msiba hao majirani zako wakuchangie nauli uende na kurudi?..

.pia washughurikie gharama zote za huko uendapo?
Kwenye jamii tunazoishi tuna vitu vya mambo ya kusaidiana kwenye matatizo na mnakua kama group hata makazini vile vile ukiachilia mtaani kwa hiyo kila member anapopata matatizo ndani yenu kwa kanuni mlizojiwekea mnamchangia anafanya mambo yake na mchango wake unakua na muda watu tunawasafirisha kutoka Nje ya Nchi unazungumzia 1000Km...
 
Duh..kwa hiyo title na ulivyoanza, nlnikadhani itaishia kuwa Bank wameng'ang'ania maiti hadi walipwe hela yao.
 
Ok kwa huo mpango wenu mpo vizuri ila usitumie mfano huo kwa waajiliwa wengine (asilimia kubwa) ni pesa ya kifuta jasho tu kwa wafanyakazi wenzio ambayo ukiibadilisha kwenye matumizi inatoshamaji ya kunywa tu.
 
mkopo hautoki bila signarure za kukubari terms and conditions. Suluhisho ni kutosaini tu
Tatizo kipindi unasaini wanakwambia ni ndani ya 24 hours unakula dodo ila baada ya kutia saini, wanakuja na ngoja ngoja.
 
Hizi bank huwa na vi terms and conditions vyakipuuzi sana.
Unaweza kuta kuna kipengele kinachosema sio lazima mkopo utoke ndani ya 24hrs.
Au tutakupa tukiridhika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…