Msaada ameyakanyaga Bank ya ABC

Ina gharamikia in what percentages. Msiba unambo mengi sana sidhani higo ela inayotolewa naweza cover kila kitu.
 
Pia inatakiwa misiba mingine ikitokea muwe mnatoa hela hata 5,000 au 10,000 kuwachangia watu wako wa karibu ukipata msiba hata uhitaji kiasi gani cha kusafirisha watu unaowachangia mara kwa mara watakuja na kukupa sapoti ukiona mtu kapata msiba harafu anahaha mbaya jua sio mtu wa watu...
 
Si kweli hayo mambo yalikuwa zamani sana siku hizi labda msiba wa mwenza na mtoto tu ndo unaweza kuambulia chochote lakini mzazi unakomaaa mwenyewe tu labda uwe ni KM au Waziri au Mkurugenzi ndo unaweza kupata lakini mtumishi wa kawaida tu hupati hata sanda msiba wa mzazi
 
Hapana.
Kazini kwetu ofisi ilitoa waraka wa maslahi ya watumishi na muundo wa utumishi.
Hata wa mkataba anahudumiwa kila kitu akifiwa na mzazi, mwenza au mtoto.
Takupigia picha baadaye uone
 
Ajinyonge tu akajumuike na huyo ndugu yake aliemtangulia
 
Mteja husaini makubaliano ya mkopo na benki, kama hajasaini hapo mkopo hakuna. Huu wasiwasi unatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…