Habari zenu waungwana!
Shemeji yenu nililala nae juzi saa 5 usiku, jana mida ya saa 6 mchana akameza vidonge vya p2 ila baada ya kumeza alijisikia usingizi na kichefuchefu, pia kuna muda alijihisi miguu kuishiwa nguvu lakini muda huu amesema anasikia uchovu na pia ametapika.
Sasa swali langu Wakuu kwenu ni kwamba, je vidonge vitakuwa vimefanya kazi ama arudie dozi?