Msaada: Amemeza vidonge vya p2 jana ila leo ametapika

Habari zenu waungwana!

Shemeji yenu nililala nae juzi saa 5 usiku, jana mida ya saa 6 mchana akameza vidonge vya p2 ila baada ya kumeza alijisikia usingizi na kichefuchefu, pia kuna muda alijihisi miguu kuishiwa nguvu lakini muda huu amesema anasikia uchovu na pia ametapika.

Sasa swali langu Wakuu kwenu ni kwamba, je vidonge vitakuwa vimefanya kazi ama arudie dozi?
Wewe shida yakoo ninii?
 
Mkuu, Pharmacy walisema kwa kuwa ni tayari tendo limeshafanyika basi ameze tu viwili kwa pamoja.

Sasa Mkuu, kama wamekosea kunielekeza naomba unipe namna sahihi ili nikanunue dozi nyingine.
Kweliii umepaniaaa nibeki tatu wanyumbanii itakuwaa unahahaa nyumbani wasisandeee
 
Habari zenu waungwana!

Shemeji yenu nililala nae juzi saa 5 usiku, jana mida ya saa 6 mchana akameza vidonge vya p2 ila baada ya kumeza alijisikia usingizi na kichefuchefu, pia kuna muda alijihisi miguu kuishiwa nguvu lakini muda huu amesema anasikia uchovu na pia ametapika.

Sasa swali langu Wakuu kwenu ni kwamba, je vidonge vitakuwa vimefanya kazi ama arudie dozi?

Acheni uzinzi na kufanya abortion.
 
Hivi Mimba inaweza kuingia na ndani ya masaa machache dalili zikaanza kuonekana? Sio kama inachukua siku saba moja au zaidi dalili na mabadiliko kuanza kujitokeza? Naamini kuna wataalam wengi tuu jukwaani hapa wenye uzoefu wanaweza kumtoa hofu huyu jamaa.
ukute kitu ilishanasaga kitambo wao wanahangaika na p2 saii
 
She might be overdosed nenda hospital....usijaribu kumpa dawa zingine bila medical consultant cuz hizo p2 ni synthetic Levonorgestrel
Mkuu, nimetoka pharmacy nimewaeleza kila kitu wamenipa jibu kuwa hayo ni maudhi ya dawa na hamna haja ya kumpa tena hiyo dawa kwani imeshapita siku moja tangu ameze kwahiyo imeshafanya kazi.
 
Mkuu siku nyingine usiende kwenye maduka ya dawa sometimes wauzaji wanakuwa hawana elimu ya kutosha ni bora kwenda kwenye vituo vya afya.Vidonge vya P2 sasahiv sasa n rasmi kama njia ya uzaz wa mpango na vinapatikana kwenye vituo vya afya kote nchini.
Vidonge vinaweza kutumiwa ndani ya siku 5 baada ya tendo ila wanasema,"the earlier is better" kwa hiyo ukitumia ndan ya masaa 24 ya mwanzo hutoa matokeo mazur zaidi.
Huwa vidonge viwili na umezwa kimoja na kingine umezwa baada ya masaa 12 kutoka kile cha kwanza.Madhara madogo madogo ya matumiz ya P2 huwa yapo kama kichefuchefu,kutapika na kuvuruga tumbo.
Kwa ufanisi wa dawa nyingi za kumeza ukitapika baada ya masaa 3 hapo hakuna shaka.Pia unaposahau kumeza dawa wanashaur umeze pale utakapokumbuka na usimeze zaidi dose elekezi.
Cha msingi hautakiw kumeza ikiwa tayari mimesha conceive maana haitasaidia.
USHAURI; kumeza dawa zote kwa pamoja athari yake ni kuzidiwa nguvu ya dawa tu lakin kaz ni ileile hata kama angemeza kwa interval ya masaa 12(kawaida) so usiwaze.
Pili nakushauri muende mkapime mimba inawezekana tayari alishapata kitambo,hii ni kwa sababu inaonekana shemej siyo mzoefu sana na uzazi wa mpango hasa hizi artificial methods
 
Hzo dawa zinareact tofauti tofauti kulingana na miili ya watu. Wapi ambao wakitumia hzo dawa hupata kichefuchefu sana so si ajabu mtu kutapika
Kweli Mkuu, nimeambiwa ni inategemea mtu na mtu, nimeambiwa dawa imeshafanya kazi wala nisimpe nyingine tena.

Nilimuuliza mtu mwingine mtumiaji akajibu kuwa yeye akimezaga wala hakimsumbui kitu anajiona yupo fresh tu.

Mwingine akaniambia kuwa yeye huwa anapata sana usingizi na kusikia uchovu.
 
Hivi Mimba inaweza kuingia na ndani ya masaa machache dalili zikaanza kuonekana? Sio kama inachukua siku saba moja au zaidi dalili na mabadiliko kuanza kujitokeza? Naamini kuna wataalam wengi tuu jukwaani hapa wenye uzoefu wanaweza kumtoa hofu huyu jamaa.
Mkuu, sijui wewe utakuwa ni e........ maana nilivyompgia akasema hizo ni effects za dawa maana hamna mimba inayoonekana 13 hrz baada ya kujamiiana.
 
ukute kitu ilishanasaga kitambo wao wanahangaika na p2 saii
Hamna kitu kama hiko, ni mtu ambae nnaishi nae muda mwingi sana. Yaani siku ina masaa 24 ila masaa 12 mm nipo nae, so angekuwa na shida yoyote ningemjua.
 
Mkuu siku nyingine usiende kwenye maduka ya dawa sometimes wauzaji wanakuwa hawana elimu ya kutosha ni bora kwenda kwenye vituo vya afya.Vidonge vya P2 sasahiv sasa n rasmi kama njia ya uzaz wa mpango na vinapatikana kwenye vituo vya afya kote nchini.
Vidonge vinaweza kutumiwa ndani ya siku 5 baada ya tendo ila wanasema,"the earlier is better" kwa hiyo ukitumia ndan ya masaa 24 ya mwanzo hutoa matokeo mazur zaidi.
Huwa vidonge viwili na umezwa kimoja na kingine umezwa baada ya masaa 12 kutoka kile cha kwanza.Madhara madogo madogo ya matumiz ya P2 huwa yapo kama kichefuchefu,kutapika na kuvuruga tumbo.
Kwa ufanisi wa dawa nyingi za kumeza ukitapika baada ya masaa 3 hapo hakuna shaka.Pia unaposahau kumeza dawa wanashaur umeze pale utakapokumbuka na usimeze zaidi dose elekezi.
Cha msingi hautakiw kumeza ikiwa tayari mimesha conceive maana haitasaidia.
USHAURI; kumeza dawa zote kwa pamoja athari yake ni kuzidiwa nguvu ya dawa tu lakin kaz ni ileile hata kama angemeza kwa interval ya masaa 12(kawaida) so usiwaze.
Pili nakushauri muende mkapime mimba inawezekana tayari alishapata kitambo,hii ni kwa sababu inaonekana shemej siyo mzoefu sana na uzazi wa mpango hasa hizi artificial methods
Mkuu, nimekuelewa saaana. Ni mtu ambae nnaishi nae, hizi dalili alianza kuziona jana mida ya sa 6 mchana, yaani kama dawa ameze mda huu kisha after 20 minutes aanze kusikia usingizi na mapigo ya moyo kuongezeka, alivyoamka akawa anaskia usingizi pia na uchovu na kizunguzungu kwa mbaaali, usiku ndo akawa anatema mate.

KABLA YA KUMEZA DAWA ALIKUWA NORMAL KABISA MKUU.
 
P2 zinatumika kwa cycle moja tuu..hakuna haja ya kuongeza dozi..nikusubir tu cycle iishe kuona kama it worked or not..pia kama umesoma maelekezo kwa ile karatasi ya ndani inaeleza kabisa..even the side effects za dawa na pia using them sio guarrantee kama mimba haitoshika..na hata akipata mimba hakuna matatizo yoyote kwa mtoto kwa sababu ya dawa alizotumia.
Expect anything..though in most case it works well...
 
Mkuu, nimekuelewa saaana. Ni mtu ambae nnaishi nae, hizi dalili alianza kuziona jana mida ya sa 6 mchana, yaani kama dawa ameze mda huu kisha after 20 minutes aanze kusikia usingizi na mapigo ya moyo kuongezeka, alivyoamka akawa anaskia usingizi pia na uchovu na kizunguzungu kwa mbaaali, usiku ndo akawa anatema mate.

KABLA YA KUMEZA DAWA ALIKUWA NORMAL KABISA MKUU.
Sawa sawa mkuu usihofu mathalani si matumiz ya muda mrefu hapo hakutakuwa na shida sana kadri masaa yanavyosogea
 
Back
Top Bottom