Msaada: Amemeza vidonge vya p2 jana ila leo ametapika

She might be overdosed nenda hospital....usijaribu kumpa dawa zingine bila medical consultant cuz hizo p2 ni synthetic Levonorgestrel
2 tabs hajajioverdose ndio inatakiwa iwe hivo
Vomiting ni one of the side effect, kuna haja ya kurudia doz if possible but it should be within 72 hours after unprotected sexual inter course
 
hahaha mwambie akeep our baby tu msiangaike sana P2 c kila mtu inamkubali na c kila mimba inatoka
Hivi alikuwa anaongelea vidonge vya kutoa uhai wa mtoto?
daaah....namwachia MUNGU kesi hii siwezi kuhukumu.
 
P2 zinatumika kwa cycle moja tuu..hakuna haja ya kuongeza dozi..nikusubir tu cycle iishe kuona kama it worked or not..pia kama umesoma maelekezo kwa ile karatasi ya ndani inaeleza kabisa..even the side effects za dawa na pia using them sio guarrantee kama mimba haitoshika..na hata akipata mimba hakuna matatizo yoyote kwa mtoto kwa sababu ya dawa alizotumia.
Expect anything..though in most case it works well...
Asante saana Mkuu, mwanzo nilikuwa nna hofu ila sasa nna amani kuwa mambo yameenda vyema.
 
She might be overdosed nenda hospital....usijaribu kumpa dawa zingine bila medical consultant cuz hizo p2 ni synthetic Levonorgestrel
Mkuu P2 unaweza kumeza mara moja vidonge viwili au kimoja halafu kingine baada ya masaa 12.

Kuhusu kutapika, kama utatapika ndani ya masaa mawili tangia umeze dawa ndio unatakiwa urudie.
 
Kuna mimba hata ukiikata mguu hospital unaunga na anazaa mtoto strong tu. Kama ni wifi acheni kutoa oaneni maisha ndo haya haya
 
Haina shida mkuu mwambie atulie tu dawa imeshafanya kaz yake hicho kifechef kutapika kizungzungu and whatever undesirables happened ni maudh madogo tu ambayo kila dawa inayo lkn sio lazma kila mtu yamtokee...
Be calm na maisha yaendelee asikudanganye mtu kwamba hyo ni overdose... Overdose haiwez kutokea ktk dose ya levonorgesterol 1.5mg
 
Mkuu, sijui wewe utakuwa ni e........ maana nilivyompgia akasema hizo ni effects za dawa maana hamna mimba inayoonekana 13 hrz baada ya kujamiiana.
Hapana mkuu, mimi sio e..nimewaza tuu nje ya box. Nadhani ni kama ulivyoshauriwa na kumbuka alitumia 2 kwa pamoja hivyo kumzidi nguvu uwezekano upo.
 
Haina shida mkuu mwambie atulie tu dawa imeshafanya kaz yake hicho kifechef kutapika kizungzungu and whatever undesirables happened ni maudh madogo tu ambayo kila dawa inayo lkn sio lazma kila mtu yamtokee...
Be calm na maisha yaendelee asikudanganye mtu kwamba hyo ni overdose... Overdose haiwez kutokea ktk dose ya levonorgesterol 1.5mg
Hatimae watu na taaluma zenu madaktari mmekuja, asante sana kaka. Watu walishaanza kuntetemesha humu ndani.
 
P2 mnazielewa sana eee dawa nzito sana hio na haishauriwi kunywa kunywa tu.... afadhali angeniomba ushauri mimi kuliko kunywa hizo
 
Mkuu siku nyingine usiende kwenye maduka ya dawa sometimes wauzaji wanakuwa hawana elimu ya kutosha ni bora kwenda kwenye vituo vya afya.Vidonge vya P2 sasahiv sasa n rasmi kama njia ya uzaz wa mpango na vinapatikana kwenye vituo vya afya kote nchini.
Vidonge vinaweza kutumiwa ndani ya siku 5 baada ya tendo ila wanasema,"the earlier is better" kwa hiyo ukitumia ndan ya masaa 24 ya mwanzo hutoa matokeo mazur zaidi.
Huwa vidonge viwili na umezwa kimoja na kingine umezwa baada ya masaa 12 kutoka kile cha kwanza.Madhara madogo madogo ya matumiz ya P2 huwa yapo kama kichefuchefu,kutapika na kuvuruga tumbo.
Kwa ufanisi wa dawa nyingi za kumeza ukitapika baada ya masaa 3 hapo hakuna shaka.Pia unaposahau kumeza dawa wanashaur umeze pale utakapokumbuka na usimeze zaidi dose elekezi.
Cha msingi hautakiw kumeza ikiwa tayari mimesha conceive maana haitasaidia.
USHAURI; kumeza dawa zote kwa pamoja athari yake ni kuzidiwa nguvu ya dawa tu lakin kaz ni ileile hata kama angemeza kwa interval ya masaa 12(kawaida) so usiwaze.
Pili nakushauri muende mkapime mimba inawezekana tayari alishapata kitambo,hii ni kwa sababu inaonekana shemej siyo mzoefu sana na uzazi wa mpango hasa hizi artificial methods
Jamani hizo p2 zinaitwa EMERGENCE contraceptives sio dawa za uzazi wa mpango kama majira au nyinginezo. So matumizi ya p2 ni ya kidharura. Wataalam wanasema si za kutumia regularly bse zikikuzoea mwilini(yaani ww mwanamke) kuna uwezekano mwili ukashindwa kureact vzr tena kwa dawa nyingine za kawaida. Naweza nisiwe nimejieleza vzr but ukweli ni kuwa hizo makitu ni ya kidharura.
So Brothers tuwe makini sio kuwanywesha mabinti za watu hayo ma p2 ili tu kuzuia msala upande wetu unaweza mletea shida baadae. Mm niliambiwa haya na Dr wa wanawake kabisa pale dispensary namanga nicheza game na wife kumbe simu ziso ikabidi tuwahi kumcheki Dr. Take care
 
Mkubwa hizo ni Emergency Contraceptive na mleta huu uzi mke wake ametumia kwa emergency na hata kwenye vituo vya afya zinapatikana na zinatumika kwa emergency.Hakuna mtu aliyesema zitumike mara kwa mara,unashauriwa kuchagua njia nyingine ya uzazi wa mpango kwa ajili ya kupanga uzaz kwa muda mrefu.Hizi ni contraceptive mkuu sasa unaposema siyo dawa za uzaz wa mpango nashindwa kukuelewa!
 
Ushauri wako unataja usemeje juu ya hii post?
 
Mkubwa hizo ni Emergency Contraceptive na mleta huu uzi mke wake ametumia kwa emergency na hata kwenye vituo vya afya zinapatikana na zinatumika kwa emergency.Hakuna mtu aliyesema zitumike mara kwa mara,unashauriwa kuchagua njia nyingine ya uzazi wa mpango kwa ajili ya kupanga uzaz kwa muda mrefu.Hizi ni contraceptive mkuu sasa unaposema siyo dawa za uzaz wa mpango nashindwa kukuelewa!
Pharmacy nilizoenda na mpaka moja nikaamua ninunue hivi vidonge wote wanasema ni vidonge vya uzazi wa mpango.

Hivi vidonge kuna vitu vinavyo ambavyo vinashabihana na vile vidonge vya uzazi wa mpango vingine.
 
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Mara ya kwanza kumpa mtoto wa watu vidonge vya p2, alinikimbia kwa muda wa week mbili. Maana hakuamini kama vitafanya kazi.
 
Back
Top Bottom