Msaada: Amemeza vidonge vya p2 jana ila leo ametapika

Habari zenu waungwana!

Shemeji yenu nililala nae juzi saa 5 usiku, jana mida ya saa 6 mchana akameza vidonge vya p2 ila baada ya kumeza alijisikia usingizi na kichefuchefu, pia kuna muda alijihisi miguu kuishiwa nguvu lakini muda huu amesema anasikia uchovu na pia ametapika.

Sasa swali langu Wakuu kwenu ni kwamba, je vidonge vitakuwa vimefanya kazi ama arudie dozi?
Jaman hz brand name znatisha ....nikadhan ni dawa mpya kumbe ni ile ile levonorgestrel.

Natumai mambo yako settled kaka. Kama bado... Nijuze.
 
Habari zenu waungwana!

Shemeji yenu nililala nae juzi saa 5 usiku, jana mida ya saa 6 mchana akameza vidonge vya p2 ila baada ya kumeza alijisikia usingizi na kichefuchefu, pia kuna muda alijihisi miguu kuishiwa nguvu lakini muda huu amesema anasikia uchovu na pia ametapika.

Sasa swali langu Wakuu kwenu ni kwamba, je vidonge vitakuwa vimefanya kazi ama arudie dozi?
Shuniee daaah
 
Harufu ya uzinzi na uasherati kila kona.
 
Watu wajinga ka ww sijaona nenda kwa Dr hospital Hapa JF watakuuwa ukizingatia ushauri wao
 
Mkuu, Pharmacy walisema kwa kuwa ni tayari tendo limeshafanyika basi ameze tu viwili kwa pamoja.

Sasa Mkuu, kama wamekosea kunielekeza naomba unipe namna sahihi ili nikanunue dozi nyingine.
Usiende kununua doz nyingne hyo imeshafanya kaz na hawez kuwa na mimba kuhusu uchovu na kutapika ni hzo Dawa znampelekesha tu hata usiogope hata mm nkimeza kuwa zanipelekaga sana napata had kizunguzung na kuumwa kchwa ila mimba sipat xo ondoa shaka
 
Back
Top Bottom