Nathd
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 290
- 210
Ni kawaida sana
Miaka 13 mdogo sana bado
Huwa inastua then inaacha, akifika angalau miaka 14 15 itaanza rasmi.
Akipita miaka 16 hajapata siku zake hapo ndipo aanze kuonesha wasiwasi
Pia aangalie mazingira anayoishi yakoje, anamsongo wa mawazo? Tatizo la hofu, wasiwasi? Chakula je anachokula? Kwa ujumla mtindo wake wa maisha ukoje?
Hayo maswali ayafuatilie ndo yatamtatulia tatizo kama litakuwa ni tatizo kweli.