Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

Ni kawaida sana
Miaka 13 mdogo sana bado
Huwa inastua then inaacha, akifika angalau miaka 14 15 itaanza rasmi.
Akipita miaka 16 hajapata siku zake hapo ndipo aanze kuonesha wasiwasi

Pia aangalie mazingira anayoishi yakoje, anamsongo wa mawazo? Tatizo la hofu, wasiwasi? Chakula je anachokula? Kwa ujumla mtindo wake wa maisha ukoje?
Hayo maswali ayafuatilie ndo yatamtatulia tatizo kama litakuwa ni tatizo kweli.
 
Yaani tangu tarehe 5/1 hizo siku hazijaonekana?? Mwaambie aangalie na azitafute vizuri ndani au akumbuke mara ya mwisho aliziweka wapi na aulize majirani kama waliona siku zake..Au usikute siku zake zimetekwa?

[HASHTAG]#Jokes[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Just4Fun[/HASHTAG]
 
Hiyo ni kawaida kwa wasichana wadogo wanapoanza kuona siku zao..Tena inaweza kufika hata miezi 6 bila kuona siku zake. Ni hali ya kawaida kabisa na utokea kwa wasichana wengi..ila kwa uhakika zaidi anaweza kwenda kwa Dr.
Asante kwa ushauri ndugu .
 
Ni kawaida sana
Miaka 13 mdogo sana bado
Huwa inastua then inaacha, akifika angalau miaka 14 15 itaanza rasmi.
Akipita miaka 16 hajapata siku zake hapo ndipo aanze kuonesha wasiwasi

Pia aangalie mazingira anayoishi yakoje, anamsongo wa mawazo? Tatizo la hofu, wasiwasi? Chakula je anachokula? Kwa ujumla mtindo wake wa maisha ukoje?
Hayo maswali ayafuatilie ndo yatamtatulia tatizo kama litakuwa ni tatizo kweli.
Yupo shule anasoma darasa la saba na wanabanwa sana na masomo na anaishi boarding. Asante kwa ushauri nitafatilia.
 
Hio ni normal nakwambia ivo kwa sababu iliwahi kunitokea mra moja tu,mimi pia nlikua miaka io 13 then nkawa napata kama kawaida for three months baada ya hapo ikakata kama for two month ikawa imemtia shaka mama yang ,nkaenda kupimwa kila kitu nkakutikana sina tatizo so hua inatokea ivo,then itarud yenyew tu.
 
Most likely hakuna tatizo, mwili unakua mfumo wa homoni kwa baadhi ya watoto wa kike huchukua muda kuanza kufanya kazi (bado anakua).
 
Ni kawaida sana
Miaka 13 mdogo sana bado
Huwa inastua then inaacha, akifika angalau miaka 14 15 itaanza rasmi.
Akipita miaka 16 hajapata siku zake hapo ndipo aanze kuonesha wasiwasi

Pia aangalie mazingira anayoishi yakoje, anamsongo wa mawazo? Tatizo la hofu, wasiwasi? Chakula je anachokula? Kwa ujumla mtindo wake wa maisha ukoje?
Hayo maswali ayafuatilie ndo yatamtatulia tatizo kama litakuwa ni tatizo kweli.
Tupo tofauti, kuna wengine inaanza wakiwa na miaka 11 na inaendelea kutoka bila matatizo.
 
Hii hali inaitwa amenorrhoea, si ya kawaida aende kwa gynaecologist waelewe sababu za amenorrhoea kutokea.

Amenorrhea (uh-men-o-REE-uh) is the absence of menstruation — one or more missed menstrual periods. Women who have missed at least three menstrual periods in a row have amenorrhea, as do girls who haven't begun menstruation by age 15. The most common cause of amenorrhea is pregnancy
 
Jirani yangu anaomba msaada kuhusu binti yake mwenye umri wa miaka 13. Anasema alivunja ungo October mwaka jana, akaendelea kama kawaida mpaka January 5 tena akaona siku kama kawaida. Baada ya hapo haoni tena mpaka sasa hivi napoandika hapa. Keshampima mimba hana na sasa hiyo hali inasababisha binti anamwuliza maswali mara kwa mara kwanini haoni siku zake.

Jamani Dr. na wanaJF mpeni msaada, je hii ni hali ya kawaida au?
Huyo anavyojua kuweka vitu ovyo ovyo atakuwa kesha zipoteza mwambie atafute kwa makini ataziona tu
 
Yupo shule anasoma darasa la saba na wanabanwa sana na masomo na anaishi boarding. Asante kwa ushauri nitafatilia.
Tena kumbe yupo boarding. Basi chakula na psychology ya akili ndo inaweza ikawa sababu, na kama wanakula maharagwe kila siku, maharagwe huchangia mtu kukosa hedhi japo hutegemea na jinsi mtu alivyo
 
Ampeleke hospitali... Ni tatizo hilo linaitwa secondary amenorrhea. Linatibika ukiwahi kupata tiba na usipotafutia ufumbuzi anaweza asizipate tena siku zake.
 
Back
Top Bottom