mdida
JF-Expert Member
- Jul 14, 2011
- 1,607
- 775
Jirani yangu anaomba msaada kuhusu binti yake mwenye umri wa miaka 13.
Anasema alivunja ungo October mwaka jana, akaendelea kama kawaida mpaka January 5 tena akaona siku kama kawaida.
Baada ya hapo haoni tena mpaka sasa hivi napoandika hapa. Keshampima mimba hana na sasa hiyo hali inasababisha binti anamwuliza maswali mara kwa mara kwanini haoni siku zake.
Jamani Dr. na wanaJF mpeni msaada, je hii ni hali ya kawaida au?