UncleJoe
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 624
- 509
Hi wandugu,
Nnataka kuhamisha majina kutoka lumia 620 kwenda android. Cha ajabu hakuna option ya ku export contacts kama nilivyozoea kwenye android. Nataka majina yahamie kwenye pc ili niweze kuyaleta kwenye simu ingine
Nb: sitaki kuyaback up kupitia hotmail maana uwa siitumii email kusync majina.
Mr. nokia chief-mkwawa na wengine naomba msaada wenu

Last edited by a moderator: