Msaada tutani juu ya upatikanaji wa HDD (internal hard disk)

Msaada tutani juu ya upatikanaji wa HDD (internal hard disk)

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
7,004
Reaction score
9,263
Habari za ndugu zangu.

Mwezi uliopita nilifanikiwa kununua laptop moja niliyokua naihitaji sana katika shughuli zangu za hapa na pale, pia nikiwa kama mpenzi wa laptops games niliona inanifaa
Dell - Inspiron 15.6" Laptop - Intel Core i5 - 8GB Memory - NVIDIA GeForce GTX 1050 Ti - 256GB Solid State Drive - Black

5872507_rd.jpg;maxHeight=1000;maxWidth=1000

ila hii PC nimekutana na changamoto moja ina INTERNAL MEMORY NDOGO ni 256GB japo ni kichipu flani hv ndio storage, ila imekuja na sehemu ya kuweka HDD lakini nikijaribu kuweka HDD mbalimbali hazisomi kwenye sysytem ya kompyuta ikabidi niingingie mtandaoni kuitafuta aina ya hii HDD au inayofanana na hiyo, naamini huku JF hapaharibiki neno "(there is an empty 2.5" bay which I installed 500GB Samsung EVO SSD on it. Recognized by the system the first time!)" haya ni maoni ya mtu alieweka HDD katika kompyuta yake. mtu mwenye uelewa au upatikanaji wake wa hiyo HDD anijuze nije ninunue

20171227_202340[1].jpg

Pia kama kuna mtu anajua upatikanaji wa RAM DDR4 anijuze nataka niongeze ziwe GB 16
Naomba msaada tutani

cc; [HASHTAG]#chief mkwawa[/HASHTAG]
 
[HASHTAG]#chief mkwawa[/HASHTAG]
mkuu hio ssd ya 256gb ni ndogo ila ina thamani sana kushinda hata 1TB ya HDD, hivyo hakikisha huitoi na operating system muda wote ipo humo, pc yako itakuwa na speed sana.

tafuta HDD kwa ajili ya kueka media na magame, hio sehemu kwenye picha ambayo ipo wazi ndio kunapoekwa HDD. (juu kushoto kwenye picha yako)

cheki hii video
www.youtube.com/watch?v=qXcxFPDRvRo

kuna step ya mwisho anaelezea jamaa utahitajika kusajili hio HDD mpya ulioeka kwa kuenda computer management (nafkiri hata disk management itafaa). hivyo inawezekana umeeka HDD ila hujaiambia pc iitumie.

kuongezea hio ni port ya 2.5 sata, unaweza ukaeka drive yoyote ya ukubwa huo haijalishi ni HDD, SSD, CD etc
 
Mkuu shukrani sana, nilitaka niipige chini hii window 10 niweke 7, umenifungua, sasa HDD apata wapi? nimezunguka kutafuta ya ukubwa huo imeekua changamoto, nimeona watu wanatumia ssmsung EVO
 
Mkuu shukrani sana, nilitaka niipige chini hii window 10 niweke 7, umenifungua, sasa HDD apata wapi? nimezunguka kutafuta ya ukubwa huo imeekua changamoto, nimeona watu wanatumia ssmsung EVO
usithubutu kueka windows 7 hutapata drivers, utakosa direct x 12 kwenye games na matatizo kibao utayatengeneza.

HDD za 2.5 mbona ni common za laptop? freedom wanazo 130,000 za 1TB western digital black, ili kuondoa utata beba laptop wakainstall huko huko.

wewe unayo HDD ndogo hapo nyumbani?
 
Ninayo mkuu, nimeijaribu nikaona haisomi
 
angalia ile video, hakikisha hizo connector umezieka vizuri then uende kwenye computer management ku assign hio volume, nafkiri itakuwa upande wa storage
Mkuu nimetoka kuweka bado haisomi, nimefata hata procedures lakini bado
20171228_185253.jpg
 
Back
Top Bottom