Msaaada jamani nitapa presha nife buure na nyie mpo

Msaaada jamani nitapa presha nife buure na nyie mpo

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
52
WANA JF
poleni na makujumu ya kila siku na maisha yalivyo tafu.

Jamani naombeni msaaada kama kuna mtu anajua masuala ya TRA agent wangu ananizingua kila kukicha sasa gari lina mwezi na nusu lakini yeye hajali kitu. Sasa wakuu kama kunamtu anaijua sheria sawasawa ya TRA maana nilifika kutaka kubadilisha agent TRA wakakataa sasa anavyonidanganya na mipresha nilionayo ninaweza kufa siku si nzangu,Huku tulanguliwe kodi huku agent analeta za kuleta sasa nifanyje wakuu.
Je nawezaje kumbadilisha? na kama ku log in DATA ameshafanya yeye sasa hapo ndio kazi ipo je naweza kwenda mwenyewe mimi ni pastor pia naweza kumtumia mke wangu ni mtumishi waSerikali Jamani Msaada. Kila siku ananidanganya mara PAD mara Bosi ,Mara Mtandao umegoma , Mara P-PAD bado, Mara kila kitu tayari gari kesho natoa sasa ushauri na document zote zipo clear mpaka TRA wanashangaa kwanini Jamaa anafanya hivi. ushauri au mnaniacha nife na Presha??
 
utakuwa uumpi posho vzuri anakutengenezea mazingira ya rushwa we unakuwa uelewi somo
 
Pale kuna rundo la rushwa, mimi gari nimetoa pale miezi 2 iliyopita ila hili la TRA/BANDARINI lapaswa kuwa ni janga la kitaifa.
Pole kwa yanayokusibu ila subiri wadau watakupa njia bora hapa jamvini.
 
Back
Top Bottom