MS Kalashnikov: Female fighters in Congolese rebel groups

MS Kalashnikov: Female fighters in Congolese rebel groups

kumbe watizi wanajisifu bure tu, na wanapodai wamewachakaza m23 kumbe wanapigana na mademu msituni. goshhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh:confused2:.

sasa hao si ndo mademu mlio waamini na kutumwa na huyo babaenu PK na huo ndo uwezo wa jesh lenu rwanda, nahao mademu si waliwakimbiza wanajesh wa kongo, na wamekomeshwa na watizi, halafu tungejua mapema tungepeleka mgambo tu wangewatosha ndo maana hawajamaliza hata wiki2 kuwasambaratisha hao mademu. eti majesh ya rwanda yapo tayari kuingia kijesh congo weeee thubutu muone.
 
Mkuu donlucchese ... umekubali nini? ... alafu mbona umequote post yote? huoni kama inaharibu, maana post yenyewe ni ndefu

Ooh sikuona kama nimequote the whole post, nimekubali courage ya hao wanawake thou naona kama they are being mislead kua katika vikundi vya waasi!
 
Last edited by a moderator:
huyu alieketi kitini kwenye picha kavaa gwanda utadhani ana undugu na ay
 
The Million Dollar Question: Who is going to help them go back to normal life?
Imeniuma aisee... I wish I could help them :disapointed::disapointed:
 
Back
Top Bottom