MS Kalashnikov: Female fighters in Congolese rebel groups

MS Kalashnikov: Female fighters in Congolese rebel groups

Lilien Katiwa , hili jina limekaaje aisee
Mods, hebu ongezeni na hili kwenye Dictionary ya abuse fully words ya JF
 
mwenye contact za hawa watu aziweke wazi....maana mjenga nchi ni mwananchi na mvunja nchi ni mwananchi.

"the few,the proud"
 
Na hapo hapo watu wanajiuliza hao watu 2 (two) million waliokufa ni akina nani? au kuwa wengi wao walikuwa wanawake ni akina nani? Jibu ndio hilo hapo juu kwenye hayo mapicha. Vikundi vya waaasi vimekuwa viki recrruit kwa kulazimisha kila nyumba itoe mtoto mmoja wa kiume au wa kike/ na kama huna mtoto utoe mfugo (kitoweo).

Hivyo wasichana /watoto wa kuanzia miaka 10 wamejiingiza kwa kurubuniwa na kutumikishwa na wakati mwingine kutumiwa kingono (sex slave) zaidi katika kuwa serve hao Makamanda kama akina Sultani Makenga et all.
 
Mkuu nakubali na wewe!! Kanali, Major, Captain, ...... Wote hawa katika JWTZ hakuna angekuwa zaidi ya Privite!! Inaonyesha jinsi hawamajangili walivyokuwa greedy!!

hawa hata upriveti bado labda ukuruti
 
kumbe watizi wanajisifu bure tu, na wanapodai wamewachakaza m23 kumbe wanapigana na mademu msituni. goshhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh:confused2:.
 
kumbe watizi wanajisifu bure tu, na wanapodai wamewachakaza m23 kumbe wanapigana na mademu msituni. goshhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh:confused2:.
Hawa m23 wangeweza kupelekewa hata mgambo wa jiji tu au JKT ...warembo wenyewe ndo hawa wapiganaji mweeee!
 
Lieutenant Rehema Rahijya doesn’t know her date of birth. Duhhhhhh.jameni hatari
 
Hivyo vyeo vya kienyeji,, madem wa makamanda wa M23,,, wana hali mbaya sana huko waliko.....huyu PK,,,lazima tumshikishe adabu,, jeshi letu ni kubwa kuliko maelezo,,, mbaya zaidi kawapanda mpaka YM na UK....anawapelekesha tuu,,, kisa JK kapeleka majeshi DRC,,,, aelewe fujo zake hatuzipendi,,, tushachoka na wakimbizi....
 
huyo namba moja ni mzuri aisee......nahisi vibosile wanammezea mate kwa sana tu
 
Natamani sana kuona pedi za wanajeshi, najua zitakuwa za kitofauti kutokana na ugumu wa mazingira yao ya kazi
 
Walikuwa hawakutana na jeshi lenye ari ya kupigana, sidhani km wako hai. maana nasikia M23 wamekufa wengi sana.
 
MS Kalashnikov | Female fighters in Congolese rebel groups..In contemporary African wars women continue to play a variety of crucial roles, and yet they remain invisible to the world.
9897540184_6e40dba502_o.jpg


Colonel Fanette Umuraza is pictured at M23 headquarters in northern Kivu. A 32-year-old with a university degree in political science, she vehemently champions the ideology of M23's military chief Sultani Makenga, having worked her way up to serve as his right-hand woman.


fanette-rwagati-dance3.jpg


M23 Major Fanette Rwagati, dancing with Local women in Kibumba

9897967296_f48744b84a_o.jpg

M23 Major Fanette Rwagati

9897513583_ba4aca4eee_o.jpg


Colonel Fanette Umuraza, 32 years old. Fanette joined M23 having previously fought in the CNDP, M23’s predecessor. She says she chose these rebel groups because she shares their ideology. M23 press conference following fighting over internal divisions. Kibumba, (territory controlled by rebel group M23), North Kivu, DRC

img_5069.jpg


Umuraza says she wants to free the women of Congo from their role as victims. The fact that rebel groups have been repeatedly accused of committing rapes seems contradictory, though.


--
@Boflo Bujibuji Safari_ni_Safari Preta saudari watu8 Ndibalema Paloma Chimunguru MadameX Kongosho MziziMkavu sakapal donlucchese farkhina Ndahani Erickb52 Baba V Wilbert1974 Kaunga Blaine Elli Arushaone Makanyaga omujubi mwaJ stineriga Bujibuji Heaven on Earth Amavubi mimi49 afrodenzi Sikonge Elizabeth Dominic Mentor King'asti Abdulhalim Bigirita C6 marejesho englibertm Money Stunna Ab-Titchaz Doppelganger

duuuh, nimekubali
 
Major..Captain..yani wanajiita tu ma vyeo wasiyokuwa nayo wakati wako plain begani! Ni sawa na kina prf jay wetu huku bongo!!!
Hata mimi nimeshangaa sana kila mdada anajinasibu ni Maj, mara Lt, mara Colonel, haiwezi kuwa rahisi hivyo vyeo vya kujipachika tu!
 
sasas huyu unaanzaje kutungoza maana akichomoa hicho ki- "Aden Rage" chake hapo kiunoni ndio mwisho wa tongozo......sipati picha sasa eti ndio umemvua nguo huyo utajiona shujaa kishenzi. Binafsi huwa napenda sana kutembea na Mjeshi wa Traffic wa Kike yaani najiskia ujiko sana kwamba pamoja na mavyeo yake yote hayo nimemchojoa

Mpwa Elli sasa na wake za mabrigedia wasemeje?

mie picha hazijafunguka huku kwangu ila nimefurahi kujua kuwa kuna ke wako na uthubutu wa namna hii!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom