wakuu heshima kwenu sana.
taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mrithi wa Rejia anatoka karatu anaitwa Cecilia Pareso.nampongeza sana mpambanaji mpya.
mwenye CV Yake aimwage hapa tafadhali.
sheria za uchaguzi na uteuzi wa wabunge wa viti maalum unazifahamu? waombe wajf hapa watakupa nadhani utaridhika. Kwa kifupi tume ya uchaguzi ndiyo inapendekeza jina , linapelekwa ktk chama husika kupewa baraka.
Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!
Mh...hongerakamanda;Lakini Dr,hivi wana CHADEMA Ifakara hawapo?
Ni vema kujiepusha na lawama toka kwa magamba kwa kuhakikisha si tu haki inatendeka,bali inaonekana kuwa imetendeka
Hapa ndipo CDM walipokosea....ingebidi mrithi wake atoke angalau Morogoro. Hawajawatendea kabisa haki wale vijana wote waliotumia nguvu zao siku ya msiba wa Regia kule Ifakara.
Hiyo list ilipatikanaje? Hapa si ndipo pale ilipotumika model ya dr. na kutupilia mbali matokea ya uchaguzi?Aisee kweli wewe mama porojo.nami nakubatiza jina lingine kuanzía leo utaitwa mama chaumbea.
Mkuu ZZK alipewa ila akaamua kutoa nafasi kwa mtani wake toka huko Mara!Nafasi hii kapewa naye Dr aingize wake baada ya mkewe.
Kwani Mh Ndesamburo amepewa nafasi ya Mtoto na Mkwe.
Mh mgombea urais wa Znz kupitia Chadema ametoa mtoto wa Dada yake.
Tindu lisu ametoa dada yake.
Padre Slaa ametoa mke na labda huyu mrithi wa Regia.
Mh Alfi -- hajapewa
Mh Zitto -- hajapewa.
Je kunani hapo? Dini au shares hazikutosha kwa Zitto na Alfi kupewa nafasi nao waweke wao?
ndio maaana tunasema viti maalum ni unafiki mtupu na upendeleo na ikhsani na fitna kubwa kwa jamii. mfikirie kuviondoa.
Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!
Ulitaka atoke Ifakara?
Umeelewa taratibu za kuchagua wabunge wa viti maalum? Mh.R.Mtema (R.I.P) hakutoka jimboni.Haki inaonekana kutendeka pale utaratibu unapofuatwa badala ya kutafuta umaarufu na sympathy peke yake.Ingekuwa tunataka kufuata matamanio tu bila taratibu, basi hoja yako ya Ifakara ingekuwa na mashiko mkuu wangu.
Hivi hoja zimeisha kabisa jamani?
umetaja watano tu,angali hapa sasa,
mambo ya nje Benard membe
Uwekezaji-maria Nagu
Biashara-Cyril chmi
Mifugo-David Mathayo
Nishati na Madini-wilium Ngeleja
Utalii-Ezekiel
Maji-Markson mwandosya
michezo-Emmanuel ..............................................................nk nk nk.mnaulizana dini na ukabila mnataka kutambika?