Mrithi wa Makinda huyu hapa

Mrithi wa Makinda huyu hapa

Huyu hapa.
DSC05156.JPG

hakuna jipya,hana uwezo huo na wala hadeserve..
 
images

...Mbunge Ajaye wa Njombe Kusini ni Deo Mwanyika, Kamanda wa UVCCM Njombe, na Makamu wa Rais wa Africa Barrick Gold Mining...

Na yule jamaa wa ICTR Arusha analitaka jimbo gani vile la Njombe? Anaitwa Dani Mpumilwa
 
UMETUMWA KUWASEMEA AU UMEJITUMA??? Tafakari kwa Mwaka Huu umejiwekea MALENGO gani ya kimaendeleo ILI na SISI tujadili,zaidi ya Huu ----- wa kututangazia nani MGOMBEA ubunge Njombe.
 
images

...Mbunge Ajaye wa Njombe Kusini ni Deo Mwanyika, Kamanda wa UVCCM Njombe, na Makamu wa Rais wa Africa Barrick Gold Mining...

Kwa maoni yako.......bt Subiri uone,unafikiri njombe bado vilaza!!wait n see.
 
Iron Lady njoo uthibitishe hapa

huyo sio THE iron lady mimi. atakuwa mtu mweingine nae anajiita iron lady.
hili si jina tu mkuu kila mdada anayejiona anasifa za kujiita hivyo basi anaweza kujiita hivyo wala sio kosa kisheria .
hata hivyo mimi si mwanafunzi wa chuo chochote nilishamaliza zamani. sasa nalitumikia taifa kwa taaluma niliyoipata.
 
UMETUMWA KUWASEMEA AU UMEJITUMA??? Tafakari kwa Mwaka Huu umejiwekea MALENGO gani ya kimaendeleo ILI na SISI tujadili,zaidi ya Huu ----- wa kututangazia nani MGOMBEA ubunge Njombe.

We unamalengo gani au ndo porojo tu hapa jukwaani
 
Iron Lady njoo hapa jukwaani usibishe hizi tetesi tafadhali
 
Last edited by a moderator:
huyo sio THE iron lady mimi. atakuwa mtu mweingine nae anajiita iron lady.
hili si jina tu mkuu kila mdada anayejiona anasifa za kujiita hivyo basi anaweza kujiita hivyo wala sio kosa kisheria .
hata hivyo mimi si mwanafunzi wa chuo chochote nilishamaliza zamani. sasa nalitumikia taifa kwa taaluma niliyoipata.

We unamalengo gani au ndo porojo tu hapa jukwaani

angalia post kabla yako na nimeikopi tena.
 
Hizo "figure" nikiziona namkumbuka yule masalia mkuu anayeleta mivurugu isiyo na mbele wala nyuma. Nimekosa imani nao kiasi fulani hadi wapitie kwenye chujio kali na sio kuokota okota tu.

Inapendeza kwa mfano jinsi Ester Wasira "anavyoivishwa" taratibu kiasi kwamba akisimama jukwaani kutoa speech unaona kabisa hii inatoka rohoni na sio mtu wa kutafuta vyeo.

Nimependa sana signature yko!
 
hata wewe unaweza kumtoa makinda.yule sifuri kabisaaaaaaa hata kiswahili hajui.
 
Jamani msikimbilie ubunge tu anzeni na udiwani 2014. Mwenzenu kachukua Ludewa
 
Back
Top Bottom