Iron Lady
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 4,071
- 1,380
huyo sio THE iron lady mimi. atakuwa mtu mweingine nae anajiita iron lady.
hili si jina tu mkuu kila mdada anayejiona anasifa za kujiita hivyo basi anaweza kujiita hivyo wala sio kosa kisheria .
hata hivyo mimi si mwanafunzi wa chuo chochote nilishamaliza zamani. sasa nalitumikia taifa kwa taaluma niliyoipata.
hivi ni wewe mbunge wetu mtarajiwa?
mh watu ni wagumu kuelewa mbona nimeshaeleza hapo au unataka hadi nitaje majina yangu halisi? ningekuwa mimi huyo dada na nakataa kuwa si yeye nisingekuwa na sifa za kuwa THE Iron lady. hili ni jina kila mtu anaweza kutumia.