Mrithi wa Makinda huyu hapa

Mrithi wa Makinda huyu hapa

We have reach a point in time where any Tom, Dick and Harry can work up in the morning and vie for a political leadership. With this kind of attitude development will continiue to avade the majority. A political leadership should never be a chance for employement.
 
images


...Mbunge Ajaye wa Njombe Kusini ni Deo Mwanyika, Kamanda wa UVCCM Njombe, na Makamu wa Rais wa Africa Barrick Gold Mining...

Huyu hafai kwani ni COMPRADOR; dalali wa wazungu wa Barrick wanaotuibia maliasili yetu ya dhahabu na kutuachia mashimo na kulipa royalty kiduchu!! Huyu fisadi kama Lau Masha!!
 
Namtakia kila la kheri. Mimi pia nitakuwa napambana Iramba mashariki
 
hapa ni ushindani na kijana machachari je ataweza?KIJANA MASONGA HUYU PICHANI NA IMANI KUBWA NA MASONGA EMMANUEL mana Deo ana pesa za kifisadi lakini wengine kama Masonga Amekua na historia nzuri katiak kuongoza bila kulazimisha kuchaguliwa Nguvu za Mungu ndio Salama kupata viongozi bora sio pesa .View attachment 79965View attachment 79965KARIBU MASONGA BILA WOGA DEO Mwanyika asikusumbue kijana mwenzetu

Uzuri ckuhizi vijana wameamka!hakuna kurithishwa ccm hapa!...sshivi ni STAAFISHA CCM kwa MANUFAA ya UMA,in Jesus name! wananjombe msikubali tena!yatakuwa yale ya igunga!!toa kabisa ccm huko
 
mh watu ni wagumu kuelewa mbona nimeshaeleza hapo au unataka hadi nitaje majina yangu halisi? ningekuwa mimi huyo dada na nakataa kuwa si yeye nisingekuwa na sifa za kuwa THE Iron lady. hili ni jina kila mtu anaweza kutumia.

umesomeka shostito hilo jina bandia tu kumbe
 
Acheni upuuuuuuuzi SSI HATUWEZI KUWA NA MBUBGE MWIZI DEO MWANYIKA HATUMTAKI MWIZI HUYU
 
images
...Mbunge Ajaye wa Njombe Kusini ni Deo Mwanyika, Kamanda wa UVCCM Njombe, na Makamu wa Rais wa Africa Barrick Gold Mining...
Mkuu, ni kwa lipi zuri alilolifanya huyo Mwanyika hadi kumpigia debe awe mbunge wa huko Njombe Kusini?Maana nijuavyo mimi hao Barrick GM hawana tofauti na wanyonyaji wengine wa madini ya TZ.
 
Deo sio mzalendo jamani wananjombe wenzangu pleas pleas tusije fanya makosa kumchagua huyu aitwae deo mwanyika.
 
Emmanuel masonga ni chaguo bora kijana aneweza kutumwa na wananjombe na akafanya kazi za njombe
 
Hata kama sio wewe but kwa sasa wacha uwe wewe mpaka mwenyewe real atakapofungua account.
Sasa Iron Lady, mipango iliyopo ni ipi sasa? Unafikir twaweza kumpiku yule mmama? Ukihitaji msaada hapa JF sema mdada.

mh interesting, hivi unaweza kuwa mtu ambaye si wewe eti kwa sababu mwenyewe hajajitokeza. au ushabiki umekujaa mkuu?
nikiwa si mimi huyu mipango yake nitaijuaje?
anyway kuamini pia ni uhuru wa kila mmoja wetu. hata wewe unao wa kwako ambao unaweza kabisa ukamua usiingiliwe. endelea kuamini hivyo pengine inakusaidia.
 
Kuna mdada anajiita Iron Lady ila najua jina lake ni Rose Mayemba,anasoma chuo kikuu cha RUCO,kuna tetesi kuwa anajiandaa kwenda kugombea kwa Makinda.

attachment.php



huko jimbo lao wanawake wote wamefanana???

maana naona ni kama Bi kiroboto alipokua nsichana
 
Dany Mpumilwa anataka jimbo la njombe Magharibi kwa bwana Lwenge,ila hana ubavu tena alishindwa kuchukua jimbo kipindi kile kwa Yono,jama umalaya ndio ulimmaliza,kila akiwa anatoka Arusha kwenda ilembula kwa ajili ya kujipanga na campen alikuwa anakuja na mke tofauti tofauti,alifanikiwa kumwingiza mjomba wake kule arusha kuwa ndani ya UVCM akawa analeta vurugu tu..kama unamkumbuka KENNEDY CHUNGU ila yeye hujiita KENEDY MPUMILWA KISA ALIMKATA BABA AKE
 
Back
Top Bottom