Mrithi wa Makinda huyu hapa

Mrithi wa Makinda huyu hapa

We have reach a point in time where any Tom, Dick and Harry can work up in the morning and vie for a political leadership. With this kind of attitude development will continiue to avade the majority. A political leadership should never be a chance for employement.

Pole sana, ni wakati wa vijana sasa kama uhamini kachungulie Kenya au Bunge la Uganda.
 
kuna mdada anajiita
iron lady ila najua jina lake ni rose mayemba,anasoma chuo kikuu cha
ruco,kuna tetesi kuwa anajiandaa kwenda kugombea kwa makinda.


attachment.php





vema kijana na itapendeza sana big up dada
 
2005 ccm ilitumia ubaguzi kwa kumdhalilisha waziri mkuu mstaafu,salim ahmed salim kwa kusema ni muarabu,ccm hiyo hiyo 2012 imemteua mwarabu mweusi(msomali)abdurahamani kinana.kinana ni mmoja wa wamiliki wa kampuni yenye tender ndani ya bomba la gesi mtwara dar,ccm chini ya kikwete imempa kazi kinana kuendeleza na kulinda wizi wa rasilimali ya nchi.serikali ya ccm chini ya kikwete inatumia polisi kukandamiza demokrasia kwa kuzuia mikutano mingi ya chadema kwa kisingizio cha kutokuwa na polisi wa kutosha.lakini wanaposisitiza kuwa wataendelea na mikutano yao idadi kubwa ya polisi inasambazwa kwa kuzuia mikutano yao.
Sasa litakalotokea tanzania ni umwagaji mwingi wa damu hadi kufikia 2015 sababu serikari chafu ya ccm haisikilizi wananchi bali inawalinda wachache wao wezi wa mali ya taifa letu,tumeona polisi wakiuwa raia kuanzia arusha,tabora,morogoro,mbeya ,songea na hakuna aliyechukuliwa hatua yeyote kwa mauwaji hayo.wananchi sasa wameanza kujibu mapigo kwa kuua askari,na kuna taafifa kuwa sasa ni jino kwa jino raia wakiuwawa na polisi mchana raia watauwa polisi usiku sasa amani iko wapi kama si ubaguzi uaolelewa na serikari ya ccm?
Mod ukiifuta hii habari nitakuwa nairidisha kila kukicha kwa watu mbalimbali mpaka ujumbe huu uenezwe kwa wapenda amani kote tanzania
 
nimesoma hii post vizuri,jamani mimi sijatangaza kuwa mrithi wa makinda,kabla hamjaja na habari hapa basi muwe mnawasiliana na wahusika...mimi nafanya kazi ya chama tu hayo mengine ni tutakapoona watanzania wamekombolewa kifikra.
 
nimesoma hii post vizuri,jamani mimi sijatangaza kuwa mrithi wa makinda,kabla hamjaja na habari hapa basi muwe mnawasiliana na wahusika...mimi nafanya kazi ya chama tu hayo mengine ni tutakapoona watanzania wamekombolewa kifikra.

Mh,hapa mrithi anaeongelewa c ni mwanaume wa ccm?o post cjaelewa?
 
Tutakutana huko huko muda ukifika hivyo hakuna cha kusema kwa sasa ila ukweli utakuja kujua muda ukifika hivyo wapo na tupo vijana wengi sana hasa CHADEMA!!
 
nimemuona rose kaja hapa kujibu, mimi sikusema amejitangaza nilisema kuna tetesi
 
Sisi tunamjua Anorld Mtewele, jembe la ukweli ambaye ameanzia chini kabisa kisiasa na sasa kafika juu kwa maana kwamba ana deserve kushika nafasi hiyo. Na wazee wanamkubali. Hawa wengine wanajisumbua tu.
 
Back
Top Bottom