Benazir Buto
Member
- Sep 30, 2012
- 65
- 8
Si unamwona katika pichaKwa tiketi ya chama gani na mwaka gani
namuonaga tu majukwaani,nilipofuatilia ndo nikaambiwa ana huo mpango.Sasa unasema huyu hapa bila kuweka PICHA ndo unamaanisha nini? Au ni wewe mwenyewe umeamua kujipigia promo?
namuonaga tu majukwaani,nilipofuatilia ndo nikaambiwa ana huo mpango.
Tunamuomba hapa JF tumfanyie Vetting ikiwa anaweza kuvaa viatu vya mamam makinda
![]()
...Mbunge Ajaye wa Njombe Kusini ni Deo Mwanyika, Kamanda wa UVCCM Njombe, na Makamu wa Rais wa Africa Barrick Gold Mining...