Mrisho Ngassa: Nimeshindwa kuperformance!

Tevez,Sanchez,Paulista na Ramires ni baadhi kati ya wachezaji wengi wanaongea kiingereza kibovu ila hakuna anaejali muhimu ujumbe umefika hata Ngasa kiingereza sio lugha ya kwanza sioni tatizo akifanya makosa.
Wakongo na wazungu wakikosea kiswahili tunaona kawaida tu duh sijui utumwa wa akili utatuacha lini,hongera kwake kwa kujaribu ipo siku ataimuda hiyo lugha hata kwa 50%.

Umeelewa thread? Mtumwa wa akili muanzisha thread au Ngassa anayeacha kutumia kiswahili lugha anayoifahamu vyema na kubananga lugha ya watu?
 
halafu kasema kwamba walipokuwa wameelemewa na mtibwa walianza kuDEFENCE. si angesema tu kwamba walianza KULINDA GOLI? chezea kimombo wewe!

Lakini ndo ivo anabadili mademu.
Mungu akunyimi vyote.
 
Tevez,Sanchez,Paulista na Ramires ni baadhi kati ya wachezaji wengi wanaongea kiingereza kibovu ila hakuna anaejali muhimu ujumbe umefika hata Ngasa kiingereza sio lugha ya kwanza sioni tatizo akifanya makosa.
Wakongo na wazungu wakikosea kiswahili tunaona kawaida tu duh sijui utumwa wa akili utatuacha lini,hongera kwake kwa kujaribu ipo siku ataimuda hiyo lugha hata kwa 50%.

Tatizo siyo kujua au kutojua kiingereza, tatizo hadhira ya Ngasa ni wazungumzaji wa lugha ya kiswahili...kulikuwa na ulazima gani kuzungumza kiingereza !!??
Kwa maoni yangu, angezungumza hivyo katika nchi ambayo hadhira yake kwa sehemu kubwa wanazungumza kiingereza wala nisingemshangaa...
Hao uliowataja wote siyo waingereza hivyo hata huko uingereza hawawashangai...
Pia, ni kawaida katika taifa lolote mgeni asipojua lugha ya wenyeji, wenyeji hawamshangai kwa kuwa wanajua hajui ila wanamsaidia kujifunza.
Ni busara kutumia lugha unayoifahamu vizuri kwa hadhira wanaoifahamu vizuri lugha hiyo. Kuzungumza lugha ya kigeni kwa hadhira yenye kuelewa lugha yako ndiyo ulimbukeni zaidi...

Tafakari...
 
Na ndicho kilichomkuta Ngasa, si kosa lake sana ni kosa la kimfumo wa nchi nzima ambao umefanya taifa liwe la watu washamba na malimbuken wa lugha ya kiingereza.

Kingine kinachowaharibu ni bongo movie..
 
Tevez,Sanchez,Paulista na Ramires ni baadhi kati ya wachezaji wengi wanaongea kiingereza kibovu ila hakuna anaejali muhimu ujumbe umefika hata Ngasa kiingereza sio lugha ya kwanza sioni tatizo akifanya makosa.
Wakongo na wazungu wakikosea kiswahili tunaona kawaida tu duh sijui utumwa wa akili utatuacha lini,hongera kwake kwa kujaribu ipo siku ataimuda hiyo lugha hata kwa 50%.

Uliowataja wote wapo ugenini na mazingira yanawalizimisha kuongea lugha ya watu! Ngasa halazimishwi na mazingira kuongea lugha iliokuja Kwa meli!
 
ISHONDWAKUPAFOMANSINWENOMAZAIDIYAPDIDYWAPISMAllJRPdidy. Mwajumaaaaaa wbagaraaa weraaaaaaaaa wapiiiishyyyy

you need prayers bro. kama in real life huwa unaandika hivi mwalimu wako alikua kipofu.
 
Kuperfomance ndo nini?

Ngasa kadai ameshindwa 'kuperformance' sababu sababu alikua anakatwa hela zote.
Sasa najiuliza kulikua na ulazima gani wa kutumia kiingereza?!
Afu mademu,iv kweli Ngasa angekua ka mimi tu mngemshobokea?!
 
Nilimpenda mtangazaji wa star tv wakati anaripot habar ya ngassa kufulia na kushindwa kulipa deni la simba, mil.45. " eti kukoooopa harus kulipa mataaanga" hahahaha huyu mtangazaj lazma atakuwa simba, kama sikosei anaitwa ahmed ali.😀😀😀
 
Ngasa angeongea ivo huko AFCON, nisingeanzisha thredi, sijui kwann wengine hamuelewi.
 
Elewa mantiki ya mtoa hoja mkuu...................

Tevez,Sanchez,Paulista na Ramires ni baadhi kati ya wachezaji wengi wanaongea kiingereza kibovu ila hakuna anaejali muhimu ujumbe umefika hata Ngasa kiingereza sio lugha ya kwanza sioni tatizo akifanya makosa.
Wakongo na wazungu wakikosea kiswahili tunaona kawaida tu duh sijui utumwa wa akili utatuacha lini,hongera kwake kwa kujaribu ipo siku ataimuda hiyo lugha hata kwa 50%.
 
you need prayers bro. kama in real life huwa unaandika hivi mwalimu wako alikua kipofu.
HahaHahaaaHahaHahaaaaaaa weraaaweraaaa na PhD wakaitoaa mpwaakwamuandikii huuuhuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom