Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,551
yani jf bana habari yoyote lazima story ya papuchi itahusishwa tu, kazi kweli kweliWapo mabinti hawana masharti mengi utapata kila la kher
yani jf bana habari yoyote lazima story ya papuchi itahusishwa tu, kazi kweli kweliWapo mabinti hawana masharti mengi utapata kila la kher
Hao wote uliowataja huongea Kiingereza kwa kuwa inawalazimu kuongea Kiingereza na kama wasipoongea basi huwa na mkalimani...
Kumbuka maisha yao ya kisoka wanayaendesha katika nchi itumiayo lugha ya Kiingereza...
Hata huyo Teves wakati akiwa Uingereza alikuwa ni mgumu kujifunza kiingereza ikabidi awe na mkalimani/mkufunzi kumpa msaada...
....lakini huyu Ngassa lugha yake ya kwanza tunaijua ni Kiswahili na yupo katika nchi ambayo lugha ya kwanza ni Kiswahili.
Sasa kwa nini anahangaika kuzungumza lugha ambayo hana ubobezi nayo na kukacha lugha ambayo ndio lugha mama?
Mtu huyu akikosea lazima anyooshewe vidole tu, ujinga ni hali ya kudhani unajua kitu usichokijua....
Miss you benHahaha hili taifa hili linahitaji kazi ya ziada lipone
Hii pia ni kali lakini haiifikii ya Harmorapa ''Mimi ni strong woman''Ngasa kadai ameshindwa 'kuperformance' sababu sababu alikua anakatwa hela zote.
Sasa najiuliza kulikua na ulazima gani wa kutumia kiingereza?!
Afu mademu,iv kweli Ngasa angekua ka mimi tu mngemshobokea?!
Uko wapi brother? tumekumiss sana,!Hahaha hili taifa hili linahitaji kazi ya ziada lipone