Mrisho Ngassa: Nimeshindwa kuperformance!


Hebu niambie... Steven Gerald akihojiwa Uingereza na mwandishi mwingereza, ana sababu yoyote kuchanganya na kijerumani kwenye majibu yake???

Kwa hisani ya Watu8
 
Last edited by a moderator:
Ngasa miezi 5 iliyobaki katka mkataba wako ikiisha, unakarbishwa katka "nchi ya maziwa na asali" Simba Sc.
 
Hahahaha I'm here to presentation vs nimeshindwa kuperfomance?????
 
Mkuu Bavaria ina 8.6% alcohol..... Tutunziane heshima kiongozi.

Mkuu umesababisha nielekee kwa Mangi nikachukue "8.6 made from Holland" zangu 2 na embassy za jero ili niweze kulala vyema.
 
Leo mida jioni jioni nikawa nimekaa sehemu napiga stori na mzungu mmoja, nikaona kiingereza chake kibovu kweli na ana struggle sana na maneno na sentensi zake ni za kuunga unga had changu. KHAA nikabak nashangaa inakuwaje tena,he kumbe jamaa Mfaransa ndipo nilipoamin kuwa ni sisi tu wabongo ambao kwetu mtu asipojua kuongea kiingereza vyema tunamwona mbufi mmoja hvi wakati ni kitu cha kawaida tu.
 
perfomance ni noun jamani,perfom ni verb,sasa yeye kashindwa kuperfomance,hajakosea jamani,hahahahaha
 

Mkuu tatizo hujaelewa kinachoongelewa apa.
Huyo jamaa yakovalitumia lugha ambayo kidogo mngeelewana kwan angetumia cha kwao au cha kwetu msingeelewana kabisa.
Kwa ngasa ni tofauti kwan alikua anahojiwa na vyombo vya ndani na alitaka kuonyesha pia ameenda shule wakati uganda ombaomba wanaongea kizungu vizuri tu.
 
Mkuu swala apo ni kwanini alitumie hilo neno?!
Na kama unaweza tumia neno lolote kwanini hakutumia neno la kilugha cha kwao?!
Asipojifunza kwa kufanya makosa atapataje nafasi ya kua sahihi naamini Yanga wana mashindano nje ya nchi ikitokea akawa man of the match na hajajifunza hata kiingereza cha kuungaunga mtakuja na thread za kumbeza kama siku zileee.

Kama sikosei Ngasa alikamata vichwa vya habari za michezo juzi juzi tu kua alitimkia South Africa ni vipi kama ana mpango wa kuendeleza career nje ya Tz ambako kiingereza ni lugha inayaotumika na kaanza mazoezi ya kiingereza au inabidi akajifunze mbele kwa mbele naona umeangalia upande mmoja wa akina Tevez vipi hawa wazungu wanaoongea kiswahili tena wakijua mtu wanaeongea nae anajua kiingereza ila wanalazimisha ili wajue kiswahili mfn mimi nimepokea sana volunteers toka USA wanajua ningeweza kuwasiliana nao kwa kiingereza ila wanaongea kiswahili chao cha miezi 3 walichojifunza kwao nao tuwaite malimbukeni.
Ivi niambie nyinyi mlijifunza kiingereza kwa kuongea na nani kama sio waswahili wenzenu mbona hamkuona ulazima wa kutumia kiswahili tu naamini mlitaka kujua.

 

Nimeelewa vyema
na ndo maana nikasema ni shida in both side,kwanza kwa msemaji Mmbongo anaona akizungumza bila kicode switch mtamuona boya na pia kwa wasikilizaji ambao nao wakiona mtu hazungumzii English wanaona kama hajaenda shule.

So the only way ya kuonesha umesoma Tz ni kwa kuongea English. so tumejikuta tukiwa na Taifa la watu walimbukeni wa lugha. Na ndicho kilichomkuta Ngasa, si kosa lake sana ni kosa la kimfumo wa nchi nzima ambao umefanya taifa liwe la watu washamba na malimbuken wa lugha ya kiingereza.
 

Asante sana kaka tatizo letu ni utumwa wa akili tunaamini baya kwa kua tumefanya sisi wakifanya weupe au wa nje sawa mzungu akikosea basi ofisi nzima tulikua tunakenia meno alafu tunamuelekeza nadhani Ngasa alipaswa kupongezwa kwa kujifunza na afundishwe sio kubezwa.
 
Hebu niambie... Steven Gerald akihojiwa Uingereza na mwandishi mwingereza, ana sababu yoyote kuchanganya na kijerumani kwenye majibu yake???

Kwa hisani ya Watu8

Acha ujinga wewe div 5, kipi hukukielewa kwa Ngasa?
 
Last edited by a moderator:
Asipojifunza kwa kufanya makosa atapataje nafasi ya kua sahihi naamini Yanga wana mashindano nje ya nchi ikitokea akawa man of the match na hajajifunza hata kiingereza cha kuungaunga mtakuja na thread za kumbeza kama siku zileee.

Mkuu nijuavyo mimi Kiswahili ni moja ya lugha rasmi Afrika...

Kama akiwa MoM huyo muongoza mahojiano itampasa atafute mkalimani...

Di Maria aliposajiliwa na Man U mahojiano yake na watangazaji baada ya mechi alikuwa anasaidiwa na Juan Mata...

[
 

Mkuu kama ni suala la kufanya mazoezi basi kakosea mahali pa kufanya hivyo...
 
Ngasa kadai ameshindwa 'kuperformance' sababu sababu alikua anakatwa hela zote.
Sasa najiuliza kulikua na ulazima gani wa kutumia kiingereza?!
Afu mademu,iv kweli Ngasa angekua ka mimi tu mngemshobokea?!
ISHONDWAKUPAFOMANSINWENOMAZAIDIYAPDIDYWAPISMAllJRPdidy. Mwajumaaaaaa wbagaraaa weraaaaaaaaa wapiiiishyyyy
 
Ngasa kadai ameshindwa 'kuperformance' sababu sababu alikua anakatwa hela zote.
Sasa najiuliza kulikua na ulazima gani wa kutumia kiingereza?!
Afu mademu,iv kweli Ngasa angekua ka mimi tu mngemshobokea?!

halafu kasema kwamba walipokuwa wameelemewa na mtibwa walianza kuDEFENCE. si angesema tu kwamba walianza KULINDA GOLI? chezea kimombo wewe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…